Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodaboda Kahama kuhimiza tohara

Zaidi ya waendesha bodaboda 200 watatumika katika kampeni ya kitaifa ya tohara ya mwanaume mkoani Shinyanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bodaboda Shinyanga kuhamasisha tohara

Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Mawazo AmriWAENDESHA pikipiki za abiria maarufu kama bodaboda mkoani Shinyanga, wamepewa kazi ya kuhamasisha wanaume kujitokeza kwa ajili ya kufanyiwa tohara.

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii kuhimiza amani

WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarabu, maigizo na tamthilia, wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na Kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge  Maalum la Katiba kwa lengo la...

 

11 years ago

CloudsFM

TOHARA YAUA 19 AFRIKA KUSINI

Wizara ya Afya nchini Afrika Kusini inasema kuwa wavulana kumi na tisa wamefariki dunia mwaka huu katika sherehe za kitamaduni za kuwapasha tohara wavulana.Mshukiwa huyo Dyana Salim Suleiman, amekanusha mashitaka hayo.
Dyana alijitetea kwa kusema kuwa gari lake lilitekwa nyara na kutumiwa kwa mashamulizi yaliyofanyika mjini Mpeketoni na kwamba alipigwa na kujeruhiwa vibaya huku akiachwa hali mahututi.

Mshukiwa huyo pamoja na wengine walifikishwa mahakamani Juni 23 ingawa hawakufunguliwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaume wakimbia tohara Kenya

Wanaume wanaokwepa kutahiriwa wajikuta taabani kwa kufanyiwa kitendo hicho kwa lazima Kenya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tohara inapunguza maambukizi ya VVU

TAFITI kutoka nchi nyingi duniani zimebaini kwamba tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa asilimia 60 kwa wanaume na asilimia 44 kwa wanawake. Pia imebaini kwamba...

 

11 years ago

BBCSwahili

''Nalala kichakani kukwepa tohara''

Tohara kwa wanaume ni kitu kinachosifika,lakini wanaume hawa Kenya wanafanyiwa kitendo hicho kwa lazima. Na Odeo Sirari

 

11 years ago

BBCSwahili

Tohara yawaua 19 Afrika Kusini

Wizara ya Afya nchini Afrika Kusini inasema kuwa wavulana 19 wameaga dunia mwaka huu katika sherehe za kuwapasha tohara wavulana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tohara ya milimani Afrika Kusini

Vijana wa chama tawala ANC{Youth League} wanasema wanataka kufanya sherehe hiyo eneo la Milima maalum.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani