22.4% Tanzania bara na 15.8% Z’bar hawajui kusoma
KWA mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, takwimu zinaonesha kuwa watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea wasiojua kusoma na kuandika ni asilimia 22.4 Tanzania bara na asilimia 15.8 Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 May
‘Mabalozi wa nyumba 10 hawajui kusoma’
IMEELEZWA kuwa mabalozi wa nyumba 10 wanaochaguliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawajui kusoma wala kuandika hali inayorudisha nyuma maendeleo ya eneo husika. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mjini Dodoma...
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wanafunzi 9,000 Karagwe hawajui kusoma
ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wilayani Karagwe hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Hali hiyo imebainika kutokana na utafiti uliofanywa na halmashauri ya wilaya hiyo mwaka jana. Ofisa Elimu Shule za Msingi,...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Watoto wengi hawajui kusoma kuandika — Utafiti
ASILIMIA 61 ya watoto walio na umri wa chini ya miaka tisa hawawezi kusoma Kiswahili, Kiingereza na kufanya hesabu za kuzidisha huku wanafunzi wa shule binafsi wakionekana kufanya vizuri katika...
11 years ago
Habarileo31 Dec
254 wa darasa la 7 mkoa wa Arusha hawajui kusoma
WILAYA ya Ngorongoro inaongoza kwa kuwa na wanafunzi 124 waliomaliza darasa la saba mwaka huu bila ya kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Wanafunzi 430 hawajui kusoma wala kuandika
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Wahitimu 344 darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Kampuni ya Serengeti yatoa mafunzo kwa wahudumu wa Bar kwa mikoa ya Tanzania Bara
Meneja wa chapa wa vinywaji vikali wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
..Diaegeo Master Bar Academy (MBA) kwa udhamini wa Smirnoff
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Kampuni ya Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Limited) kupitia kampuni mama ya Diaegeo imeweza kufanya mafunzo ya namna ya kutoa huduma bora ya kuhudumia wateja kupitia vinywaji mbalimbali ikiwemo vinywaji vikali (Spirit) kwa Wahudumu wa Bar ...
10 years ago
Habarileo29 Aug
Akaunti ya pamoja Bara, Z'bar hekaheka
MWENYEKITI wa Kamati Namba Moja, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na Kamati yake kupitisha sura zote kwa kupata theluthi mbili kila upande, suala la akaunti ya pamoja kwa Tanzania Bara na Zanzibar, hawakufanya uamuzi na lilikuwa na hekaheka kubwa.