MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR
Na Mwashungi Tahir Maelezo
Imeelezwa kwamba mfumko wa bei kwa mwaka uloishia February 2020 imeongezeka kufikia asilimia 6.2 ukilinganisha kwa mwaka ulioishia January 2020 asilimia 4.9
Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha mfumko wa bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Abrahmani Msham wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Mtakwimu Mkuu wa Serikali ilioko Mazizini .
Amesema ongezeko hilo limetokana na bidhaa mbali mbali zikiwemo vyakula...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKUU WA TAKWIMU WA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonekana kushuka kutoka Silimia 6.2 kwa Mwezi uliomalizikia February 2020 hadi asilimia 5.0 Mach 2020 hafla...
9 years ago
Press10 Oct
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MFUMUKO WA BEI
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2015 umepungua hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2015.
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza Mfumuko wa Bei wa mwezi Septemba, 2015 ambao umepungua hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2015.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu...
10 years ago
MichuziMFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA- OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba, 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 5.8 kutoka 5.9 iliyokuwepo mwezi Oktoba ,2014 kutokana na kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa kupungu kwa mfumuko wa Bei...
10 years ago
GPLMFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA - OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
11 years ago
MichuziMFUMUKO WA BEI NCHINI UMEPUNGUA - OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU.
11 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya...
11 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI
Na. Aron Msigwa-MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa ongezeko dogo la mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 6.4 za mwezi June hadi asilimia 6.5 za mwezi Julai 2014 linatokana na kupanda kwa bei za baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na...
10 years ago
VijimamboOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA ZA MFUMUKO WA BEI NCHIN
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumuko wa bei nchini.
Baadi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumzia suala la mfumuko wa bei nchini.
Picha na Eleuteri...
10 years ago
MichuziOfisi ya Taifa ya Takwimu yatoa taarifa za mfumuko wa bei nchini.
Wananchi wameombwa kutoa...