MASTAA KIBAO NDANI YA FILAMU YA HOMECOMING, KUTINGA SOKONI MWEZI HUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-lnN28vSSBQk/Vl7kurTIPZI/AAAAAAAAMBs/BGjut54I3NU/s72-c/download.jpg)
Mwongozaji mahiri wa filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, Seko Shamte. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.Crew nzima pamoja na baadhi ya waigizaji
Moja kati ya kamera kali zilizotumika.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Dec
Mastaa kibao ndani ya filamu ya Homecoming, kutinga Cinema kisha sokoni mwezi huu
![](http://2.bp.blogspot.com/-lnN28vSSBQk/Vl7kurTIPZI/AAAAAAAAMBs/BGjut54I3NU/s640/download.jpg)
Mwongozaji mahiri wa filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, Seko Shamte. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.
Crew nzima pamoja na baadhi ya waigizaji
Moja kati ya kamera kali zilizotumika
Kazi ikiendelea location.
Na Mwandishi Wetu
WASANII mahiri wameshiriki kwenye filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi...
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Filamu ya ‘Homecoming’ kutinga sokoni mwezi ujao
NA MWANDISHI WETU
FILAMU inayozungumzia masuala ya rushwa ya ‘Homecoming’, baada ya kukamilika itaanza kuonyeshwa katika kumbi mbalimbali za sinema kuanzia mwezi ujao.
Muongozaji na mwandishi wa filamu hiyo, Seko Shamte, alisema filamu hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Alkemist Media inaonyesha namna vijana walivyo katika hatari kubwa ya kushiriki rushwa kutokana na ushawishi wa mazingira yanayowazunguka na namna wanavyoshindwa kukwepa vishawishi hivyo.
“Wazo la filamu hiyo lilianzia mwaka...
10 years ago
GPL17 Mar
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
MOVIE MPYA: F.R.E.N.D.z ya Irene Paul Kuingia Sokoni Mwezi Huu
Filamu mpya ya mrembo na mwigizaji wa filamu Irene Paul inayokwenda kwa jina la F.R.E.N.D.z itaingia sokoni mwishoni mwa wiki hii, pamoja na Irene mwenywe kucheza filamu hii wako pia Yusuph Mlela na Kennedy Victor. Filamu imetengenezwa chini ya Kalunde & Mama Ntilie na kuletwa kawako na Steps Entertainments.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Irene ameahidi kukutana na mashabiki wake zaidi ya 50 watakao itazama filamu na kujibu maswali atakayouliza.
“Tarehe 5 mwezi huu, can't thank God...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaCM0cfE2TsVdaTTDF8PqYK2frUkGpDvismrg-s6Bc-8Hb*-x7Z*ygyGTkEyOxjVAMhtTjHJRaQFj7JQvajDwG4/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MASTAA TUJIRUDI, HUU NI MWEZI MTUKUFU
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Riyama Awataka Wanawake Wenzake Kuitazama Filamu Hii Kwenye Mwezi Huu wa Mfungo
Kutoka Steps Entertainment ‘THE SECOND WIFE’ ni filamu nzuri ya mafundisho ya dini,inapatikana kwenye maduka yote ya steps entertainment Tanzania nzima pata nakala yako ujifunze kitu ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani kutana na Vicent Kigosi ‘Ray’, Riyama Ally na wengine wengi
Wanawake wenzangu kama bado hujaiona hii basi Naomba ukaitafute inapatikana madukani kote ili upate kujifunza subira na Uvumilivu pindi mwanaume anapo amua kufanya maamuzi magumu pia kwa kakazangu na baba zangu...
10 years ago
Bongo Movies15 Sep
Hii ndio filamu ya Kibongo itakaayoneshwa kwenye jumba la cinema la Mlimani City kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu.
Kwa mara nyingine tena wapenzi wa bongo movies tunatapa fursa ya kwenda kuangalia moja ya kazi za kipekee na ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya filamu nchini. Kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, basi tukutane pale kwenye jumba la cinema la mlimani city kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu kutazama filamu mpya na ya Kipekee Samaki mchangani. iliyotengenezwa na kampuni ya Kijiweni production chini ya usimamizi wa mtayarishaji Wlison Rumisha.
"Filamu hii inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Nape Kuzindua Filamu ya Homecoming, Century Cinema leo
![Nape](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/Nape2.jpg)
![Producer wa Homecoming Seko Shamte](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/Producer-wa-Homecoming-Seko-Shamte.jpg)
![Daniel Kijo 2](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/Daniel-Kijo-2.jpg)
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo anazindua filamu ya Homecoming katika Ukumbi wa Century Cinema uliopo Mlimani City.
Uzinduzi huo pia utaoneshwa moja kwa moja na king’amuzi cha Azam kupitia Channel yake ya Sinema...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HDZVb6YyjXc/VoIu5cgZS_I/AAAAAAAAMFA/ahkKWg1bs3c/s72-c/Nape.jpg)
NAPE KUZINDUA FILAMU YA HOMECOMING UKUMBI WA CENTURY CINEMA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-HDZVb6YyjXc/VoIu5cgZS_I/AAAAAAAAMFA/ahkKWg1bs3c/s640/Nape.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HgmkSJe23po/VoIuIUSlW-I/AAAAAAAAMEw/aIOMypm44I0/s640/Producer%2Bwa%2BHomecoming%2BSeko%2BShamte.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ki6c403sr7o/VoIvLk7EeCI/AAAAAAAAMFI/-ZdUDgMSHNw/s640/Daniel%2BKijo%2B2.jpg)
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo anazindua filamu ya Homecoming katika Ukumbi wa Century Cinema uliopo Mlimani City.
Uzinduzi huo pia utaoneshwa moja kwa moja na king’amuzi cha Azam kupitia Channel yake ya Sinema Zetu.
Akizungumza kuhusiana...