MWANAUME: Tatizo la guvu za kiume kwa wanaume
>Upungufu wa nguvu za kiume ni mojawapo ya tatizo la kiafya linaloumiza sana kisaikolojia wanaume wengi. Kufahamu ukweli wa jambo hili ni moja ya nyenzo ya kuweza kukabiliana nalo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_fcGoRmruJU/Ve644t4a9LI/AAAAAAAH3R4/pk5NFu635YY/s72-c/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_fcGoRmruJU/Ve644t4a9LI/AAAAAAAH3R4/pk5NFu635YY/s640/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Ripoti: Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTt9xnWH-hR70KQncTuo3zevXpaVxto*dr86N2q*fCjlSnuA1fJa476Nxnug-CDZeERoJXbgyfPHTlw6OV3EYJAM/1.jpg)
OYA MWANAUME, HUU MWEZI DUME JIKAZE KIUME!
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Wanaume waliofunga uzazi wadai nguvu za kiume zimeongezeka
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Mwanaume na tatizo la Ugumba
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba-2
Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume linaweza kuwa na sababu za kihisia Emotional Causes lakini sababu nyingine hutokana na maradhi kama vile kisukari na shinikizo la juu la damu.
Inakadiriwa kuwa asilimia 50 hadi 60 ya wanaume wenye maradhi ya kisukari wana tatizo la uume kushindwa kusimama. Watu wanaosumbuliwa na kiharusi na ulevi nao wana hatari kubwa sana kwa sababu ya uharibifu wa korodani Testicles kutokana na ulevi sugu na kupoteza Testerone. Pombe hupunguza kwa kiasi kikubwa...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Mambo muhimu kutatua tatizo la nguvu za kiume
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba-3
Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na tuliangalia utangulizi wa mada hii, leo ningependa kuendelea na vyanzo vinavyosababisha tatizo hilo.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume walio wengi:
Kujichua kwa muda mrefu
Mtu anapojichua anakuwa anaiminya mishipa inayosababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea hivyo linapokuja suala la kusimamisha uume, mwanaume husika anakuwa...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba
Tumekuwa tukitoa elimu muhimu juu ya afya zetu kupitia makala mbalimbali katika ukurasa huu, leo ningependa nianzishe mada muhimu na yenye mguso mkubwa kwa jamii ya wanaume wa karne hii ya sasa.
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua wanaume wengi na limekuwa ni chachu ya kuvunjia kwa ndoa nyingi. Japokuwa tatizo hili linatibika na mtu akareje katika hali yake ya kawaida, wanaume wengi wamekuwa wakiona aibu kufika katika vituo vya tiba au kuonana na matatibu ili kupata ufumbuzi wa...