Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU UWT AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUWAPA WANAWAKE KIPAUMBELE


Charles James, Michuzi TV

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Queen Mlozi amempongeza Rais Dk John Magufuli kwa kuwapa nafasi za uongozi wanawake kwenye serikali yake ya awamu ya tano.

Katibu huyo ametoa pongezi hizo pamoja na kumuomba Rais Magufuli kuendelea kuwapa nafasi kwani waliopo wameonesha jinsi gani mwanamke akipewa nafasi anaweza kufanya vizuri.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani itakayofanyika Machi 8,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli ashauriwa kuwapa kipaumbele wanawake

Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini wamemshauri Rais John Magufuli kutekeleza ahadi zake kwa vitendo ikiwemo kuteua wanawake zaidi katika nafasi za juu za uongozi.

Wanaharakati hao wamemsisitiza Rais Magufuli kuunda Baraza la Mawaziri lenye sura za usawa wa kijinsia ili kuondoa mfumo dume katika uamuzi.

 Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu, wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu baraza jipya la mawaziri, ambapo wanaharakati wa kutetea haki za wanawake...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU UWT WILAYA YA DODOMA MJINI AONGOZA ZOEZI LA KUMDHAMINI RAIS MAGUFULI


Charles James, Michuzi TV

WANAWAKE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Dodoma Mjini leo wamejitokeza kwa wingi kumdhamini Rais Dk John Magufuli katika fomu yake ya kuwania Urais kupitia chama hiko.

Zoezi hilo la ujazaji fomu limeongozwa na Katibu wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa katika uwanja wa Jamhuri ambapo jumla ya wanawake 1,000 wamejitokeza kumdhamini Rais Magufuli.

Akizungumza na Michuzi Blog, Katibu huyo wa UWT Dodoma Mjini, Diana...

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu UWT aomba wanawake wasimwangushe Samia

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani hapa, Rehema Haule amewaomba wanawake kumchagua mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ili wapate makamu wa rais ambaye atakuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika historia ya Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

9 years ago

StarTV

UWT Dar  wampongeza Utendaji Wa Rais Magufuli kwa mwanzo mzuri

 

Umoja wa Wanawake  wa Chama cha Mapinduzi, U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa kodi.

Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa ufuatiliaji na kasi yake aliyoianza ya kuwa karibu na wananchi katika kuhakikisha anakomesha kero zao na kuwawajibisha viongozi wazembe.

Janeth Masaburi ni Mwenyekiti wa U.W.T. mkoa wa Dar es salaam amewataka watanzania bila...

 

5 years ago

Michuzi

MEYA TANGA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUTHAMINI IMANI ZA WATU


Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani

MSTAHIKI meya wa Jiji la Tanga Alhaji Mustapha Selebosi akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Mkoba
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo Alhaj...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA JINSI ANAVYOLIONGOZA VEMA TAIFA, AGUSIA CORONA , MAFURIKO


Na Said Mwishehe, Michuzi TV
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ametoa pongezi za dhati kwa Rais Dk.John Magufuli kwa jinsi alivyoendelea kuliongoza vema Taifa letu huku akifafanua kwa kipindi cha miaka minne na nusu ya utawala wake tumeshuhudia kuimarika kwa uchumi , mfumuko wa bei umethibitiwa na miradi mikubwa ya maendeleo imetekelezwa.
Pia amesema wajibu katika utumishi wa umma umeimarika na kero za wananchi wanyonge zimetatuliwa, hivyo kwa kipekee kumuamini kuongoza Wizara ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA JINSI ANAVYOLIONGOZA VEMA TAIFA, AGUSIA CORONA , MAFURUKO


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ametoa pongezi za dhati kwa Rais Dk.John Magufuli kwa jinsi alivyoedelea kuliongoza vema Taifa letu huku akifafanua kwa kipindi cha miaka minne na nusu ya utawala wake tumeshuhudia kuimarika kwa uchumi , mfumumo wa bei umethibitiwa na miradi mikubwa ya maendeleo imetekelezwa.

Pia amesema wajibu wa katika utumishi wa umma umeimarika na kero za wananchi wanyonge zimetatuliwa, hivyo kwa kipekee kumuamini kuongoza Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani