Serikali yajipanga kuwapa elimu walemavu wasioona
Serikali imepanga kuwapa elimu walemavu wasioona nchini ili waweze kuendesha maisha yao kwa kumiliki miradi na kuondokana na dhana ya ombaomba.
Katika kuwapatia elimu hiyo Serikali imeandaa kongamano la kuwaelimisha mipango yake kuhusu umuhimu wao na namna inavyowajali.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao ikiwemo ugumu wa maisha lakini sasa matumaini makubwa yapo mbele yao mara baada ya serikali kupanga kuwapa elimu ili kupata ujuzi wa kumiliki...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV13 Nov
Waajiri watakiwa kuwapa kipaumbele wasioona
Waajiri nchini wametakiwa kutambua kuwa watu wasioona wana mchango mkubwa kazini kwa vile wana uwezo mkubwa wakipewa fursa.
Mbali ya kuwa wachapakazi pia ni wabunifu hivyo waajiri hawana budi kuwapa kipaumbele.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali kubwa ikiwa ni kuendesha maisha yao na fursa ya ajira.
Katika maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe Kitaifa Mkoani Tabora,Serikali inakiri kutambua changamoto walizonazo wasioona.
Maadhimisho hayo yaliyoshirikisha wasioona...
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Nisha kuwapa elimu ya maisha mashabiki
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amesema anatarajia kuachia kazi yake mpya aliyoipa jina la ‘Shida’, ambayo itatoa mafunzo kwa mashabiki kukabiliana na hali yoyote ya maisha.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Nisha alisema filamu hiyo inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu, ambapo ameweza kumshirikisha nguli mwingine, Gabo.
“Mashabiki wakae tayari kwa ujio wangu mpya naamini watajifunza vitu vingi vinavyohusu maisha yetu ya Kitanzania...
5 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi ya mkoa...
10 years ago
Vijimambo06 Mar
Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014
11 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Walemavu wataka elimu ya katiba
UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), umesema baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba iliyopendekezwa, kilichobaki sasa ni wananchi kupewa elimu ya kutosha ili wafanye uamuzi sahihi. Akizungumza na...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Serikali yajipanga kukabili mafuriko
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Serikali yajipanga kukuza utalii
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Serikali yajipanga kukabili Ebola
SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...