Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viwanja vya michezo virudishwe serikalini

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaelekea raundi ya tano lakini makocha na wachezaji nao wanaendelea na lawama zao dhidi ya ubora wa viwanja wanavyovitumia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Viwanja vya michezo vya shule virudishwe

Mara nyingi tumeandika kwamba Serikali inatakiwa kuhakikisha shule zote, kuanzia za awali, msingi na sekondari zinakuwa na viwanja vya michezo mbalimbali kwa sababu michezo ni sehemu ya mtaala wa masomo, ambapo mwanafunzi anatakiwa afanye bidii katika masomo darasani na kufanya bidii katika michezo.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uharibifu wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa. Picha na Frank Shija - WHVUM

 

9 years ago

Dewji Blog

Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo

SAM_0096

Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0090

Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0086

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Bonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja

Kocha Abdulghani Msoma akifuatilia michezo ya Bonaza katika uwanja wa mnazi mmoja kushoto Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni na kulia Mchezaji wa Zamani wa timu ya Nyuki. iliokuwa na makazi yake kikwajuni  Zanzibar.                 Kizazaa katika goli la Kilimani Mashariki hakuna madhara yaliotokeaMiss the ball get the man.... Kipa wa timu ya Kilimani Mashariki akidaka mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Kisimajongoo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

Bonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kati ya Mchezo Kisimajongoo na Kilimani Mashariki Imeshinda 3--0

 Kikosi cha timu ya Kilimani Mashariki kilichotowa dozi kwa timu ya Kisimajongoo cha kipigo cha bao 3--0 wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup linaloendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja  Kikosi cha timu ya Kisimajongoo kilichopata kipigo cha mabao 3--0 na timu ya Kilimani MasharikiKocha Abdulhani Msoma akifuatilia michezo ya Bonaza katika uwanja wa mnazi mmoja kushoto Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni na kulia Mchezaji wa Zamani wa timu ya Nyuki. iliokuwa na makazi...

 

10 years ago

GPL

WAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.…

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hakuna vifaa vya kugundua ‘unga’ viwanja vya Ndege’

 Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia na badala yake wazidishe ulinzi bandarini na kwenye viwanja vya ndege.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani