Viwanja vya michezo vya shule virudishwe
Mara nyingi tumeandika kwamba Serikali inatakiwa kuhakikisha shule zote, kuanzia za awali, msingi na sekondari zinakuwa na viwanja vya michezo mbalimbali kwa sababu michezo ni sehemu ya mtaala wa masomo, ambapo mwanafunzi anatakiwa afanye bidii katika masomo darasani na kufanya bidii katika michezo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Viwanja vya michezo virudishwe serikalini
11 years ago
GPLWAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziSerikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo
Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...
10 years ago
MichuziBonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja
9 years ago
MichuziDK. MAGUFULI AKIENDELEA NA KAMPENI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA NGURUKA KIGOMA LEO
9 years ago
MichuziMKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwaambia Magufuli ni mchapakazi na yupo tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwataka vijana kutohadaika na kudanganywa...