Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. MAGUFULI AKIENDELEA NA KAMPENI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA NGURUKA KIGOMA LEO

 Aliyekuwa Diwani wa NCCR- Mageuzi na mjumbe wa Halmashauri, Yusuf Nyamgenda ajiunga na CCM leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma.  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk John Pombe Magufuli akihutubia leo asubuhi katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma. Wananchi waliokusanyika kumsikiliza  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DK. MAGUFULI AKIENDELEA NA KAMPENI WILAYANI BUHIGWE,MANYOVU KIGOMA LEO

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma leo akiowaomba wananchi hao ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wananchi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Pombe Magufuli wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma leo.Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaombea kura wagombea wa nafasi za Urais , Ubunge na Udiwani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwaambia Magufuli ni mchapakazi na yupo tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwataka vijana kutohadaika na kudanganywa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKIENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI MCHANA HUU SENGEREMA NA GEITA VIJIJINI


  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa jimbo la Buchosa mapema walipokuwa wakishamgilia mara baada ya kupanda jukwaani na kuwasalimia,mkutano huo wa kampeni umefanyika mapema leo asubuhi katika kijiji cha Nyehunge wilayani Sengerema mkoani Mwanza.Pamoja na mvua kunyesha hapa hapa na pale katika maeneo hayo,Dkt Magufuli anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni katika jimbo la Geita Vijjini katika...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumekucha uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM, Viwanja vya Jangwani leo

dafKatibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake uliofanyika mapema Agosti 22, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika leo viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Na Dotto Mwaibale   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika leo...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA WILAYA KASULU,BUHIGWE NA KIBONDO MKOANI KIGOMA LEO

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma
Wananchi wa Kasulua wakifuatilia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja  Kasulu, Kigoma,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dk Magufuli aliwahutubia.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kibondo ndani ya uwanja wa Taifa mkoani Kigoma ...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar

Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani