Wazazi Mtwara watakiwa kuthamini elimu
![](http://1.bp.blogspot.com/-1P5tIQ2IORE/VQGuqOTx7cI/AAAAAAAAB90/QTPQNcOPmaQ/s72-c/HAWA%2BGHASIA.jpg)
Na Clarence Chilumba, Mtwara
SERIKALI imewataka wazazi na walezi mkoani Mtwara, kuwapeleka shule watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, wakati akizungumza na Uhuru mjini hapa.
Alisema elimu ndiyo itakayowasaidia vijana wa Mtwara kunufaika na uchumi wa gesi, ambao unapatikana katika mkoa huo.
Alisema kama watoto wa mikoa ya kusini hawatapata elimu, wataishia kufanyakazi za chini,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZAZI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU
-============ Na...
10 years ago
GPLWAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO
10 years ago
Dewji Blog05 May
Elimu zaidi yatakiwa kubadili jamii kuthamini maalbino
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. Katikati ni Afisa mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye Albinism la...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0016.jpg)
ELIMU ZAIDI YATAKIWA KUBADILI JAMII KUTHAMINI MAALBINO
9 years ago
StarTV18 Dec
Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu
Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.
Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.
Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...
9 years ago
MichuziWAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA WATOTO WAO MITANDAO
Wanafunzi wa Shule ya New Ligh ya chekechea ya Mji mdogo wa Mireani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mahafaliya kujiunga na darasa la kwanza kwenye shule hiyo
Na Woinde Shizza.WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowaachia huru watoto wao kujihusisha na mitandao ya kijamii, kwani baadhi ya mitandao hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili maadili yao na kusababisha wawe na tabia mbaya.
Meneja wa shule ya msingi New Light ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani...
10 years ago
VijimamboWAZAZI WATAKIWA KUWASAIDIA WALIMU KUONGEZA UFAULU
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Bandari Mtwara watakiwa kuimarisha ulinzi
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Cherles Tizeba, ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), mkoani Mtwara, kusimamia kwa umakini uimarishaji ulinzi kwenye bandari hiyo. Agizo hilo, alilitoa hivi karibuni...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa
WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...