Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania kuendelea kuula viwanja vya Bayport

Meneja Biashara wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Thabit Mndeme, kushoto, akizungumza jambo wakati akitangaza taasisi yao kuendelea kutoa huduma ya mradi wa viwanja vya Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ulioanza Mei 22, mwaka huu na kupokewa vizuri na Watanzania wengi. Kulia ni IT Meneja wa Taasisi hiyo, Daud Mavule.
WATANZANIA wenye nia ya kumiliki ardhi, wataendelea kuipata fursa hiyo baada ya Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, kuwapatia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATANZANIA WACHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Hawa ni miongoni mwa Watanzania waliohamasika kutembelea katika viwanja vilivyokuwa kwenye mradi wa Vikuruti kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambavyo vinatolewa kwa wananchi kwa mkopo. Wakopaji ni watumishi wa umma, kampuni binafsi na wajasiriamali.…

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAVICHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATANZANIA wameendelea kuvichangamkia viwanja vya mkopo vinavyotolewa na Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, vilivyopo Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.
Kuchangamkiwa kwa viwanja hivyo kumekuja siku chache baada ya kuzindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja hivyo kutoka Bayport, ikiwa ni ishara nzuri na njia ya kuwapa fursa Watanzania ya kumiliki nyumba.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bayport yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote

Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga, pichani, akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa ya Mei 22, katika Hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali. (Picha zote na Mpiga Picha Wetu).

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo,...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport Financial Services yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote

Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa ya Mei 22, katika Hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali. 
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo, imeanzisha huduma mpya ya kukopesha viwanja...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo Vikuruti


Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo VikurutiNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imesogeza mbele huduma yao mpya ya mikopo ya viwanja vilivyopo Vikukuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa fursa zaidi ya Watanzania kupata viwanja hivyo vilivyopimwa.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akizungumza jambo baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport: Wa mikoani nao wanaweza kukopa viwanja vya Kibaha

TAASISI ya Kifedha ya Bayaport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo,imesema hata Watanzania wanaoishi mikoani wanaweza kutumia fursa ya kukopeshwa viwanja katika mradi wa Vikuruti, uliopo Kibaha, mkoani Pwani. Unaweza kuptata fomu hapa.Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha, Obed Katonge, akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya viwanja, uliyofanyika mwishoni mwa wiki, katika hoteli ya Serena.
Bonyeza hapa kupata fomu ya mkopo wa viwanja kutoka Bayport Financial...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi kuendelea kuula BMT

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema Dioniz Malinzi ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

 

11 years ago

GPL

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR

Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia na ofisa wa mfuko huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo Bw,Kambilo Crement wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani