Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bayport: Wa mikoani nao wanaweza kukopa viwanja vya Kibaha

TAASISI ya Kifedha ya Bayaport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo,imesema hata Watanzania wanaoishi mikoani wanaweza kutumia fursa ya kukopeshwa viwanja katika mradi wa Vikuruti, uliopo Kibaha, mkoani Pwani. Unaweza kuptata fomu hapa.Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha, Obed Katonge, akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya viwanja, uliyofanyika mwishoni mwa wiki, katika hoteli ya Serena.
Bonyeza hapa kupata fomu ya mkopo wa viwanja kutoka Bayport Financial...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania kuendelea kuula viwanja vya Bayport

Meneja Biashara wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Thabit Mndeme, kushoto, akizungumza jambo wakati akitangaza taasisi yao kuendelea kutoa huduma ya mradi wa viwanja vya Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ulioanza Mei 22, mwaka huu na kupokewa vizuri na Watanzania wengi. Kulia ni IT Meneja wa Taasisi hiyo, Daud Mavule.
WATANZANIA wenye nia ya kumiliki ardhi, wataendelea kuipata fursa hiyo baada ya Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, kuwapatia...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WACHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Hawa ni miongoni mwa Watanzania waliohamasika kutembelea katika viwanja vilivyokuwa kwenye mradi wa Vikuruti kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambavyo vinatolewa kwa wananchi kwa mkopo. Wakopaji ni watumishi wa umma, kampuni binafsi na wajasiriamali.…

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAVICHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATANZANIA wameendelea kuvichangamkia viwanja vya mkopo vinavyotolewa na Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, vilivyopo Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.
Kuchangamkiwa kwa viwanja hivyo kumekuja siku chache baada ya kuzindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja hivyo kutoka Bayport, ikiwa ni ishara nzuri na njia ya kuwapa fursa Watanzania ya kumiliki nyumba.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial...

 

10 years ago

Michuzi

Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo Vikuruti


Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo VikurutiNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imesogeza mbele huduma yao mpya ya mikopo ya viwanja vilivyopo Vikukuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa fursa zaidi ya Watanzania kupata viwanja hivyo vilivyopimwa.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akizungumza jambo baada ya...

 

10 years ago

GPL

BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAENDESHA SHINDANO LA KUKOPA PESA KWA NJIA YA MTANDAO

Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz,  inayoendeshwa na taasisi hiyo ambapo washindi watatu ambao ni Hyasint Mbunda (Songea), Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam) na Allen Bishubo (Bukoba), walipatikana na kila mmoja kushinda Sh Milioni moja. Kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA MRADI MPYA WA VIWANJA VYA PANGANI,KIBAHA

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akikata Utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi mpya wa Viwanja vya Pangani Mjini Kibaha,Mkoani Pwani jana Agosti 4,2014.Mradi huo Unaratibiwa na Kampuni ya Space & Development kwa Ufadhili wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB Development Bank).Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akiangalia Maji yanayokoka kwenye Kisima kikubwa kilichopo ndani ya Mradi huo ambacho kina uwezo wa kutoa Lita elfu 10 kwa saa,ikiwa ni sehemu ya Miundombinu iliyopo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume nao wanaweza kunyonyesha watoto wao

Unaingia katika nyumba ya rafiki yako Jumanne Mwesiga na macho yako yanakutana ana kwa ana na Mwesiga akimnyonyesha mtoto wake mchanga mwenye umri wa miezi miwili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAA kuboresha viwanja mikoani

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA), imesema itaendelea kuboresha viwanja vya ndege vilivyoko mikoani, ili kila mwananchi aweze kutumia usafiri huo. Ofisa Sheria na Mahusiano wa mamlaka hiyo, Nuru Nyoni,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani