Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TEDDY DAVIS: Mjasiriamali anayehimiza Watanzania kuthamini vya kwao

TEDDY Alban Davis,  ni  mwekezaji  mdogo  na wa kati wa mkoa wa Pwani  hususan Wilaya ya Bagamoyo  kwa kuwekeza kwenye bidhaa mbalimbali  na kinywaji. Davis, Mkurugenzi wa Smoke House Store,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Serikali yawaasa watanzania kuthamini na kutunza viwanja vya michezo

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Leonard Thadeo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uharibifu wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kuzungumzia uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa. Picha na Frank Shija - WHVUM

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAASWA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NDANI YA NCHI

KAIMU MENEJA WA SIDO MKOA WA IRINGA, MR NIKO MAHINYA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFINI KWAKE

NA FRANK KIBIKI, IRINGA



SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limewataka watanzania kujenga utamaduni wa kupenda bidhaa zinazotengenezwa ndani, badala ya zile zinazoingizwa kutoka nje ili kukuza uchumi wan chi.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema ikiwa watanzania wataenzi bidhaa zinazotengenezwa ndani...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWATAKA WATANZANIA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NA JESHI HILO

Na Lucas Mboje
Watanzania wametakiwa kuthamini na kutumia bidhaa zinazozalishwa na Jeshi la Magereza hapa nchini zikiwemo Samani za ndani na Ofisi.
Mwito huo umetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja wakati akiongea na Waandishi wa Habari mara tu baada ya kutanganzwa rasmi Jeshi la Magereza kuwa Mshindi wa kwanza kwa upande wa utengenezaji wa bidhaa za Samani za ndani katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika uwanja wa Mwalimu...

 

9 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

10 years ago

GPL

MJASIRIAMALI WA VYAKULA VYA MIFUGO AJISHINDIA PIKIPIKI YA STARTIMES

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimuelekeza mshindi wa droo ya tatu ya mwezi wa Aprili, Bi Mary Luis Tumsifu, mfanyabiashara wa vyakula vya mifugo na mfugaji pia, mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam namna ya kuchomeka ufunguo wa pikipiki katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.
 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara).
 Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...

 

9 years ago

Mwananchi

RAINER MWASHU : Mbunifu wa maktaba ya mtandaoni anayehimiza matumizi ya kompyuta kwa watoto

Tafsiri ya maendeleo, kwa mujibu wa wanazuoni mbalimbali, ni ile hali ya kutoka hatua moja ya maisha iliyo chini kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Hili likifanyika katika eneo lolote linalolenga kuboresha maisha, ni maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani