VIJANA WALIOTIMIZA MIAKA 18 WAASWA KUPIGA KURA ILI KUCHAGUA VIONGOZI WANAO WATAKA.
Na Avila Kakingo,Globu ya jamii.VIJANA waliotimiza miaka 18 kwa mwaka huu waaswa kupiga kura ili kumchagua kiongozi wanaemtaka na watambue mchango wao katika jamii kwa kupiga kura kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Nae Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali Tanzania People with Disabilities Organization (TAPWAO), Michael Mwanzalima ameomba tume ya uchaguzi kutoa vipaumbele kwa walemavu wa viungo mbalimbali siku ya kupiga kura ili isiwe kikwazo kwao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Dec
Vijana waaswa kuchagua viongozi makini
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimewataka vijana kutotumika kama daraja la kupata viongozi wabovu, wasio kuwa na sifa kwa jamii, baada ya kuchukua fedha chafu kutoka kwa watu wanaoomba nafasi ya uongozi.
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
10 years ago
StarTV13 Jan
Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.
Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe45Bx*uOV00GyuZ5JSVAzC6jyk8Rs8KKnhFklwiB73hsroxF927tTqePAAPcuMlQAECvbVsM7ipTsbErfU9ySdx/1.jpg?width=650)
VIJANA WAASWA KUJITAMBUA ILI KUONDOKANA NA UMASKINI
10 years ago
GPLFID -Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI WA NCHI 2015
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua
Blogger Maggid Mjengwa.
Ndugu zangu,
Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.
Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.
Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...
10 years ago
VijimamboWAZEE WA CHAMA CHA CUF KISIWANI PEMBA WATAKA KUPEWA ELIMU YA KUPIGA KURA
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ningekuwa mimi mgombea, ningewalipia wote nauli na posho ili waweze kwenda kupiga kura
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Vijana wasusa kupiga kura Jimbo la Lulindi