Madiwani Kigoma watakiwa kushirikiana na wananchi
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Mwangasame, akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).
Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Enock Jonas, akizungumza na madiwani baada ya kuchaguliwa katika kikao chao cha kwanza. (Picha na Emmanuel Senny).
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa. (Picha na Emmanuel Senny)
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Madiwani wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo11 Dec
Madiwani Arusha waaswa kushirikiana na watendaji
MADIWANI wa Jiji la Arusha wameaswa kushirikiana na watendaji wa Halmashauri ya Jiji hilo katika kuhakikisha maendeleo yanapatikana. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Adolph Mapunda wakati alipokuwa akifungua kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wa Jiji hilo sambamba na uchaguzi wa Meya na Naibu Meya na wajumbe wa Kamati mbalimbali za Kudumu.
10 years ago
Habarileo01 Aug
Viongozi wa Afrika watakiwa kushirikiana
VIONGOZI wa nchi za Afrika wametakiwa kudumisha ushirikiano baina ya nchi zao ili wafikie maendeleo na kutoiga tabia ya viongozi wa zamani ya kutothamini ushirikiano, kwa kuwa inadumaza maendeleo, licha ya nchi zao kuwa na uhuru.
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Wanaosafirisha mahujaji watakiwa kushirikiana
TAASISI za kusafirisha Mahujaji nchini zimetakiwa kushirikiana ili kuwatendea haki waislam wanaokwenda kuhiji Makha ncini Saud Arabia, mwaka huu. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwanyekiti wa Taasisi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-5X5MJKMrreACwmT*PZOyKNfTTvEQ3Fl*5WesRSC9G3IB1C*xl5U9zX*DfPAsTKtA8ojveRklurxymoFiRa8g75/KGMWARDCOUNCILORS.jpg?width=650)
MKURUGENZI MKUU PSPF AKUTANA NA MADIWANI WA KIGOMA
10 years ago
MichuziWAKUNGA WA JADI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATALAM WA AFYA ZANZIBAR
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Madiwani Mbeya watakiwa kuwa wabunifu
MADIWANI nchini wameaswa kuepuka tofauti zao za kisiasa, badala yake kuwa wabunifu wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha wanaleta maendeleo katika halmashauri zao. Mjumbe wa Kamati Tendajii ya Jumuiya ya...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Madiwani wa ACT watakiwa kuepuka ufisadi