Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI MKUU PSPF AKUTANA NA MADIWANI WA KIGOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji na Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa PSPF, Gabriel Silayo. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA PSPF KATIKA MIKOA YA MWANZA, KIGOMA NA MARA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali (Mstaafu), Issa Machibya juu ya ziara yake katika mkoa huo ambayo ililenga kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na ya...

 

11 years ago

Michuzi

Madiwani wa KIGOMA-UJIJI watembelea PSPF, Jumatatu Juni 30, 2014

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji na...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwakaribisha Maafisa kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Mkutano na Watumishi wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Uchangiaji wa Hiari uliofanyika leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto akisalimiana Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani(Global CEO), Bwana Paul Poulman jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji  itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons. Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani