Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani(Global CEO), Bwana Paul Poulman jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA DELANOUT YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji  itakayofanyika Tanzania, Novemba mwaka huu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya Viettel Group Ikulu Dar

unnamed (33)

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

unnamed (34)

 

Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni 30, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya simu ya Viettel kutoka Vietnam ukiongozwa na Bwana Le Dang Dung ambaye ni Makamu wa Rais wa Kundi la makampuni ya Viettel...

 

11 years ago

Michuzi

Rais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini Dar es Salaam leo. -Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko Dangote ikulu jijini Dar es Salaam leo  (picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI DKT TED N.C. WILSON IKULU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo nakiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu Jumamosi February 7,2015, Usiku jijini Dar es salaam.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C....

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais wa Kampuni ya TBEA ya China,pia afanya mazungumzo na Lord Mandelson

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Kampuni ya China Tebian Electrical Apparatus Stocks Company(TBEA) ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kampuni hiyo inashughulika na ujenzi wa miundombinu ya umeme. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Lord Mandelson ikulu jijini Dar es Salaam leo.Lord Mandelson amewahi kushika nyadhifa za uwaziri katika serikali ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu Tony Blair na Gordon Brown.Lord Mandelson kwa sasa ni mwenyekiti wa taasisi ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

DSC_0792Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito (kulia).

Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete, Mtendaji Mkuu wa Unilever wakutana

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani, Paul Poulman jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani