LEO SITALALA HADI RATIBA ZA MITIHANI YOTE IKAMILIKE -PROFESA NDALICHAKO
![](https://1.bp.blogspot.com/-w8kbQhNph8k/Xuioh4koyjI/AAAAAAALuAg/_R3wZn7l1CsLmDdbaFUvS0tQ7G-G35RegCLcBGAsYHQ/s72-c/ndalii%2Bed.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema baada ya Rais Dk.John Magufuli kutangaza kufunguliwa kwa shule zote Juni 29,2020, yeye leo hii hatalala kuhakikisha anapanga ratiba yote ya mitihani ya darasa la nne, darasa la saba na kidato cha nne.
Ametumia pia nafasi hiyo kueleza kuwa kwa sasa hali ni shwari na uamuzi wa shule kufunguliwa Juni 2020 umemfurahisha hivyo wanafunzi wajiandae na mchakamchaka wa masomo utakaoanza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-_FNj4QjTAnc/XunJYvXFD_I/AAAAAAAC7wY/EPhqvB4bze0DngbR0Mb7ko4001VcRY6VgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpeg)
WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO ATANGAZA RATIBA ZA MITIHANI NA MASOMO
![](https://1.bp.blogspot.com/-_FNj4QjTAnc/XunJYvXFD_I/AAAAAAAC7wY/EPhqvB4bze0DngbR0Mb7ko4001VcRY6VgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpeg)
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari wa masomo shule...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xXmUlGYYdPA/Xum7dJWaGxI/AAAAAAALuLE/kiIT7369sAY5YlFwo7tKWgQyPXIzvAgdgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B9.38.40%2BAM.jpeg)
PROF NDALICHAKO ATANGAZA RASMI RATIBA YA MITIHANI NA MASOMO, ATAKA TAHADHARI YA CORONA IZINGATIWE
KUFUATIA Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Ndalichako sasa ni Profesa
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, imefafanua kuwa sifa ya kitaaluma ya waziri wa wizara hiyo ni Profesa Joyce Ndalichako; na siyo Dk Joyce Ndalichako.
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-N8wRFTPcsMI/VoUqqjRkNRI/AAAAAAAIPls/UGSTxmR-nxY/s72-c/001.WAZIRI.jpg)
WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE
![](http://2.bp.blogspot.com/-N8wRFTPcsMI/VoUqqjRkNRI/AAAAAAAIPls/UGSTxmR-nxY/s640/001.WAZIRI.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9dkmyE-C1vw/VoUqqwOKSoI/AAAAAAAIPlw/5R3KX7QQwAE/s640/002.WAZIRI.jpg)
9 years ago
GPL31 Oct
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9IugMyewovQ/UyXDanumXbI/AAAAAAAFUAg/koL5qSAlu_I/s72-c/IMG_0088.jpg)
RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-9IugMyewovQ/UyXDanumXbI/AAAAAAAFUAg/koL5qSAlu_I/s1600/IMG_0088.jpg)
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na kiapo kwa Wajumbe wa Bunge Maalum ambao bado hawajaapishwa. Hivyo Wajumbe wote ambao hawajaapa kiapo cha ujumbe wa Bunge Maalum wanatangaziwa kufika Idara ya Shughuli za Bunge Maalum kesho saa 2:00 asubuhi bila kukosa kwa ajili ya kutambuliwa.
Saa 11:00 jioni...
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mitihani darasa la saba yaanza leo
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
BARAZA la Taifa la Mitihani (NECTA) limesema watahiniwa 775,729 wakiwamo wasichana 414,227 na wavulana 361,502, wanatarajiwa kufanya mitihani ya taifa ya kuhitimu darasa la saba leo katika shule 16,096 za Tanzania bara.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde alisema jana kuwa mitihani hiyo itafanyika kwa siku mbili (leo na kesho) na itahusisha masomo matano ya Kiswahili, Kiingereza, Hisabati, Sayansi na Maarifa ya Jamii.
“Maandalizi yote ya mitihani...
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Mitihani kidato cha pili yaanza leo nchini