Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DP: MTIKILA ALIAWA KABLA YA AJALI

Marehemu Mch. Christopher Mtikila Na Waandishi Wetu MAPYAA! Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrati (DP), Abdul Juma Mluya ameibuka na kusema mazingira ya kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila yamejaa utata huku akiweka wazi kwamba, inavyoonekana aliuawa kabla ya ajali yenyewe. Mtikila alifariki dunia katika ajali ya gari aina ya Toyota Corolla namba… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

DP watilia shaka ajali ya Mtikila

CHAMA cha Democtratic Party (DP) kimesema kimesikitishwa na mazingira yaliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Chrisopher Mtikila. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na Naibu Katibu Mkuu wa DP upande wa Tanganyika, Abdul Mluya ilidai kuwa kifo cha kiongozi huyo kinaonesha mazingira ya utata.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia leo alfajiri kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha.

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: Mchungaji Mtikila afariki katika ajali alfajiri leo


Mwanasiasa maarufu nchini Tanzania mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia Majira ya saa 10 alfajiri akitokea mkoani kwake Njombe katika kampeni .
 Taarifa zilizothibitishwa na mgombea Ubunge jimbo la Iringa Mjini na mwenyekiti wa DP Mkoa Robart Kisinini wakati akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.co.tz amesema ni kweli mwenyekiti wake huyo Taifa amefariki dunia Kamanda wa polisi mkoa wa pwani pia amethibitisha.

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari kijiji iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA ZAIDI
CHANZO: TBC TV

 

10 years ago

BBCSwahili

Clarke alikua na kesi kabla ya ajali

Mcheza mpira wa zamani Clarke Carlisle alishitakiwa kwa kosa la la kuendesha gari akiwa amelewa .

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya kwanza ya Furious 7 yaonesha scenes za mwisho za Paul Walker kabla hajafariki kwa ajali

Trailer ya kwanza ya Furious 7 ilizinduliwa Jumamosi, Nov. 1 na kuonesha scenes za mwisho za marehemu Paul Walker alizofanya kabla ya ajali iliyosababisha kifo chake November 2013. Kwenye clip hiyo ya dakika mbili na kitu, Walker aliyekuwa akijulikana kwenye filamu hiyo kama Brian O’Conner anaonekana akifanya kile alichokuwa akikipatia – mbio za magari. “Just […]

 

10 years ago

Vijimambo

ZIMEBAKI SIKU 4 TU KABLA YA TICKET ZA DIAMOND UHURU PARTY SHOW HAZIJAPANDA,CHUKUA TICKET ZAKO KABLA YA NOV 10 KWA $75 TU.....BAADAYA NOV 10 ZITAKUWA $100

   
                                                  3 COURSE DINNER  & LIVE SHOW
                                                 LIVE SHOW *DIAMOND PLATNUMZ
                                                 LIVE SHOW TANZANIA ALL STARS 
                                                  RED CARPET WITH CELEBRITY HOST
                                                  PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER 
                                                                   CASH BAR
                             ...

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

9 years ago

Michuzi

AJALI NA VIFO VITOKANAVYO NA AJALI MKOA WA DAR ES SALAAM VYAPUNGUA

 Mkuu wa usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es Salaam, Peter Sima  katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maonesho ya usalama barabarani ya yatakayofanyika tarehe Agosti 24 na 25 mwaka huu katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja  jijini Dar es Salaam, kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi na  Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Kinondoni, Awadhi Haji na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani, Elifadhili Mgonja.Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani