Katiba itapatikana kwa maridhiano
Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba takriban mwezi mmoja uliopita, tumeshuhudia malumbano yaliyoanza kujenga hisia kuwa pengine Bunge hilo litavunjika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbatia: Katiba itapatikana kwa maridhiano
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Katiba itapatikana kwa maridhiano, siyo takwimu
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Katiba ya wananchi itapatikana kwa mapambano!
RAIS wangu, huko nyuma tuliandika kwa nia njema kuwa kilichoingia kwa hila, kitaondoka kwa hila! Tukaandika tena kuwa katiba ya wananchi itapatikana kwa mapambano! Tuliwahi kuyaandika haya haya hata nyuma...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?
EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...
11 years ago
Habarileo09 Aug
‘Katiba mpya itapatikana tu’
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Abdallah Bulembo amesema ni hisia tu watu wanazitengeneza kuhusu kupatikana au kutopatikana kwa theluthi mbili kutakakowezesha kupata katiba mpya.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Ngeleja: Katiba mpya itapatikana
MCHAKATO wa uundwaji wa katiba mpya katika siku za hivi karibuni umepata mtikisiko mkubwa baada ya baadhi ya wajumbe wanaounda Bunge Maalumu la Katiba kuamua kususia mchakato huo. Wajumbe hao...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Chadema: Katiba mpya itapatikana
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni, linategemea utekelezaji wa masharti yao.
11 years ago
Habarileo05 Aug
JK aamini Katiba mpya itapatikana
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likitarajiwa kuanza leo, huku mjadala mkali kuhusu mchakato wa Katiba mpya ukiendelea katika makongamano mbali mbali, Rais Jakaya Kikwete amesema ana matumaini baada ya mjadala na changamoto, Katiba mpya itapatikana.
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Tunahitaji katiba ya maridhiano
KESHOKUTWA Bunge Maalum la Katiba, lililoahirishwa Aprili 16 mwaka huu, linatarajia kuendelea na vikao vyake bila uwepo wa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UKAWA walisusia vikao vya...