Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema: Katiba mpya itapatikana

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni, linategemea utekelezaji wa masharti yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Katiba mpya itapatikana tu’

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Abdallah Bulembo amesema ni hisia tu watu wanazitengeneza kuhusu kupatikana au kutopatikana kwa theluthi mbili kutakakowezesha kupata katiba mpya.

 

11 years ago

Habarileo

JK aamini Katiba mpya itapatikana

Rais Jakaya KikweteWAKATI Bunge Maalumu la Katiba likitarajiwa kuanza leo, huku mjadala mkali kuhusu mchakato wa Katiba mpya ukiendelea katika makongamano mbali mbali, Rais Jakaya Kikwete amesema ana matumaini baada ya mjadala na changamoto, Katiba mpya itapatikana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Katiba mpya itapatikana

MCHAKATO wa uundwaji wa katiba mpya katika siku za hivi karibuni umepata mtikisiko mkubwa baada ya baadhi ya wajumbe wanaounda Bunge Maalumu la Katiba kuamua kususia mchakato huo. Wajumbe hao...

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba itapatikana kwa maridhiano

Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba takriban mwezi mmoja uliopita, tumeshuhudia malumbano yaliyoanza kujenga hisia kuwa pengine Bunge hilo litavunjika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbatia: Katiba itapatikana kwa maridhiano

>Jina la mwanasiasa James  Mbatia si geni sana miongoni mwa Watanzania na amejizolea sifa ya kutanguliza masilahi ya taifa tangu mchakato wa kupata Katiba Mpya ulivyoanza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba ya wananchi itapatikana kwa mapambano!

RAIS wangu, huko nyuma tuliandika kwa nia njema kuwa kilichoingia kwa hila, kitaondoka kwa hila! Tukaandika tena kuwa katiba ya wananchi itapatikana kwa mapambano! Tuliwahi kuyaandika haya haya hata nyuma...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba itapatikana kwa maridhiano, siyo takwimu

Ni masikitiko makubwa kwamba nchi yetu imepoteza fursa nzuri ya kupata Katiba mpya iliyotarajiwa na wananchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?

EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema waitaka CCM isikwamishe Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake kuacha kile alichokielezea kuwa ni hila ya kutaka kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani