Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA USAFIRISHAJI WAIOMBA SERIKALI KUSIMAMISHA ONGEZEKO LA TOZO BANDARINI

 Rais wa Chama cha Wasafirishaji Tanzania (TAT), Zacharia Hans Pope (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu  changamoto ya sheria ya ongezeko la thamani VAT katika mizigo inayosafirishwa kwenda nje ya nchi. Kulia ni Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TAT, Omar Kiponza. Makamu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wadau waipinga TFF kusimamisha tiketi za kielektroniki

>Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha matumizi ya tiketi za elektroniki badala kupambana na  changamoto hizo.

 

9 years ago

Michuzi

SCANIA BUS EXPO YAKUTANISHA WADAU WA USAFIRISHAJI

Kampuni ya Scania Tanzania, imefanya maonyesho ya miundo tofauti ya mabasi yake yanayoundwa na makampuni mbalimbali ya kuunda mabasi nchini na nchi jirani. Maonyesho hayo yaliyofahamika kama “SCANIA BUS EXPO 2014” yalikutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya usafirishaji hasa usafirishaji wa abiria.
Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho hayo,  Meneja usafirishaji wa kampuni ya Scania, Godwin Rwegasira, alisema “Scania tumejikita thabiti kabisa katika sekta ya usafirishaji,...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatakiwa kusimamisha malipo

Wakazi wa Kijiji cha Mkurumuzi, Kata ya Maweni, mkoani Tanga, wameomba Serikali kusimamia ili walipwe fidia ya mashamba na nyumba zao, baada ya mwekezaji kushindwa kutekeleza makubaliano.

 

9 years ago

Habarileo

Walemavu waiomba Serikali iwakumbuke

SHIRIKISHO la Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (SHIVYAWATA) wameitaka Serikali ihakikishe maisha ya watu wenye ulemavu yanakuwa bora kwa kuwapatia huduma bora za kijamii zikiwemo afya, elimu na ulinzi. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu wa Shirikisho hilo, Justin Ng’wantalima kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu mkoa wa Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali nayo kuongeza tozo Uwanja wa Taifa

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu za Ligi Kuu zikivutana kuhusu makato ya wadhamini ya asilimia tano, Serikali ipo kwenye mchakato wa kuhakikisha inavuna pesa zaidi kupitia Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ifute tozo hizi mpya Muhimbili

Jiji la Dar es Salaam na miji mingine nchini imeanzisha utaratibu wa kutoza fedha kwa ajili ya maegesho ya magari sehemu za katikati ya miji. Utaratibu huu, kwa kiasi fulani unasaidia kupunguza wingi wa magari yanayoingia mjini kwa sababu zisizo na msingi na hivyo kufanya kwa kiasi fulani kuwe na ahueni ya maegesho kwa magari muhimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Watalii waiomba Serikali kuboresha usafiri wa anga

Wafanyabiashara wa utalii kutoka nchi za Ulaya, Marekani na Asia wameitaka Serikali kuboresha usafiri wa anga ili kuongeza idadi ya watalii.

 

10 years ago

GPL

WASANII WAIOMBA SERIKALI KUUMALIZIA UKUMBI WA BASATA

Msanii na mzalishaji filamu nchini William Mtitu (Kulia) akiongea na wadau wa Sanaa (hawako pichani) wakati akiwasilisha mada iliyohusu ‘Ubora katika filamu na changamoto zake’ kwenye Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema wiki hii. Kushoto ni Katibu wa chama cha waandishi wa habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz) Hassan Bumbuli. Kwa habari zaidi, ingia hapa===>>>http://wp.me/p6irf2-2EZ ...

 

9 years ago

StarTV

Waislamu waiomba Serikali kuunda tume ya uchunguzi

Waislamu nchini wametaka kuundwa Tume ya Uchunguzi ya Hijja kutokana na vifo vya mahujaji vilivyotokea mwaka huu wakati wa Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.

Waislamu hao wametaka tume hiyo ishirikishe nchi zote ambazo mahujaji wake wamefariki katika hijja ya mwaka huu walipokuwa wakimtupia jiwe shetani eneo la Minna Saudi Arabia.

Wakizungumza kwa mwavuli wa Muungano wa Waislamu wa madhehebu mbalimbali nchini, Masheikh hao wa taasisi tofauti wametoa tamko ambalo pia linapendekeza Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani