Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SCANIA BUS EXPO YAKUTANISHA WADAU WA USAFIRISHAJI

Kampuni ya Scania Tanzania, imefanya maonyesho ya miundo tofauti ya mabasi yake yanayoundwa na makampuni mbalimbali ya kuunda mabasi nchini na nchi jirani. Maonyesho hayo yaliyofahamika kama “SCANIA BUS EXPO 2014” yalikutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya usafirishaji hasa usafirishaji wa abiria.
Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho hayo,  Meneja usafirishaji wa kampuni ya Scania, Godwin Rwegasira, alisema “Scania tumejikita thabiti kabisa katika sekta ya usafirishaji,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Scania yakutanisha wadau wa mabasi ya Abiria

KAMPUNI ya Scania nchini Tanzania imekutanisha wadau mbalimbali wakiwemo wafanya biashara wa mabasi ya abiria pamoja na wafanya biashaya ya kutengeneza mabodi ya mabasi ya abiri kutoka makampuni mbalimbali wakati wa maonyesho ya Kimataifa ya Chesisi za Scania yaliyoandaliwa na Kampuni ya Scania yaliyojulikana kama “ Scania Bus Expo” yaliyo fanyika mwishoni mwa wiki katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

JAMESON YAKUTANISHA WADAU WAKE

Kampuni ya Pernod Ricard kupitia kinywaji chake cha- Jameson Irish Whiskey iliandaa hafla maalum ya kuonjesha kinywaji chake katika mgahawa wa High Spirit Lounge, jijini Dar es salaam jana.Hafla hiyo iliandaliwa na Balozi wa Jameson Kanda ya Afrika- Nelson Aseka. 
Bwana Aseka, ambaye amepewa mafunzo maalum kutoka kwa wataalam wa kinywaji cha Jameson Irish Whiskey nchini Ireland na mwenye miaka mingi kuwa Balozi wa kinywaji hich alisema, “Jameson inaongoza duniani kwa mauzo katika...

 

11 years ago

Michuzi

TBC YAKUTANISHA WADAU WA MUZIKI WA DANSI

Baadhi ya wasanii wakongwe wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumu Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

ActionAid yakutanisha wadau kujadili malengo mapya ya milenia

Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.

Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.

IMG_0486

 

Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya (mbele) akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.

Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 Sustainable Development Agenda'.

Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNFPA yakutanisha wadau wa kupinga ukatili na ‘Amani Nyumbani Forum’

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana akizungumza kabla ya kuzinduwa rasmi kongamano.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana akizungumza kabla ya kuzinduwa rasmi kongamano.

Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza kwenye kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza kwenye kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC yakutanisha wadau kujadili sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo

Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo. Wadau wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

TRA yakutanisha Wadau kujadili Sheria Mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 kabla ya kuanza kutumika

Afisa Kodi Mwandamizi Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TRA) Bw. Richard Mwafongo akiwasilishaji kwa Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 ambapo alisema kuwa moja kati ya sababu ya kuandaa sheria hiyo ni kuongeza pato la taifa kupitia makusanyo mbalimbali wakati wa kikao kilichokutanisha wadau mbalimbali leo jijini Dar es salaam.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade akijibu hoja mbalimbali kuhusu Sheria Mpya ya Ongezeko la Thamani...

 

9 years ago

Vijimambo

WADAU WA USAFIRISHAJI WAIOMBA SERIKALI KUSIMAMISHA ONGEZEKO LA TOZO BANDARINI

 Rais wa Chama cha Wasafirishaji Tanzania (TAT), Zacharia Hans Pope (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu  changamoto ya sheria ya ongezeko la thamani VAT katika mizigo inayosafirishwa kwenda nje ya nchi. Kulia ni Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TAT, Omar Kiponza. Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani