Walemavu waiomba Serikali iwakumbuke
SHIRIKISHO la Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (SHIVYAWATA) wameitaka Serikali ihakikishe maisha ya watu wenye ulemavu yanakuwa bora kwa kuwapatia huduma bora za kijamii zikiwemo afya, elimu na ulinzi. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu wa Shirikisho hilo, Justin Ng’wantalima kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu mkoa wa Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU
9 years ago
Dewji Blog21 Nov
Mtandao wa Wanawake na Katiba waiomba Serikali ya Dk. Magufuli
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake na Katiba na Uchaguzi, Profesa Ruth Meena (kushoto) akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Edah Sanga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake Tanzania, Mary Rusimbi (kushoto) ambaye ni mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na Uchaguzi akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti...
9 years ago
StarTV02 Oct
Waislamu waiomba Serikali kuunda tume ya uchunguzi
Waislamu nchini wametaka kuundwa Tume ya Uchunguzi ya Hijja kutokana na vifo vya mahujaji vilivyotokea mwaka huu wakati wa Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.
Waislamu hao wametaka tume hiyo ishirikishe nchi zote ambazo mahujaji wake wamefariki katika hijja ya mwaka huu walipokuwa wakimtupia jiwe shetani eneo la Minna Saudi Arabia.
Wakizungumza kwa mwavuli wa Muungano wa Waislamu wa madhehebu mbalimbali nchini, Masheikh hao wa taasisi tofauti wametoa tamko ambalo pia linapendekeza Serikali...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Watalii waiomba Serikali kuboresha usafiri wa anga
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/117.jpg)
WASANII WAIOMBA SERIKALI KUUMALIZIA UKUMBI WA BASATA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LOCpssTMyE0/Xut7m2rC8vI/AAAAAAALue8/pyZjmKmU154tziMn--gUugiCc7DKnVQBQCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Wafanyabiashara waiomba Serikali kuongeza kina cha maji
WAFANYABIASHARA wanaotumia kivuko cha Kilambo kilichopo wilaya ya Mtwara vijijini, mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuona umuhimu wa kuongeza kina cha maji katika kivuko hicho. Wakizungumza na Tanzania Daima juzi wafanyabiashara...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-sNbgOAmWtsM/XoXt9REL-pI/AAAAAAALl3E/-RfiThg5iwAtkKGhAyViyAt9OdMxUV2DwCLcBGAsYHQ/s72-c/c8615e86-743d-4ed6-9a32-b978c4262158.jpg)
Muungano wa Utepe mweupe waiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga
MRATIBU wa Shirika lisilo la kiserikali la Utepe Mweupe (White Ribbon), nchini Rose Mlay ameiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga katika vituo vya afya, zahanati na hospitali za mikoa ili akina mama wapate huduma nzuri pindi wanapojifungua.
Akizungumza na Michuzi Tv wa kuelekea Kampeni ya "Wanawake wanataka nini ,Sikiliza Chukua Hatua" iliyoandaliwa na Shirika hilo amesema katika uzazi kuna chabgamoto nyingi wakati wa kujifingua hivyo wanaiomba serikali...
9 years ago
VijimamboWADAU WA USAFIRISHAJI WAIOMBA SERIKALI KUSIMAMISHA ONGEZEKO LA TOZO BANDARINI