Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muungano wa Utepe mweupe waiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga

 Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

MRATIBU  wa Shirika lisilo la kiserikali la Utepe Mweupe (White Ribbon), nchini  Rose Mlay ameiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga katika vituo vya afya, zahanati na hospitali za mikoa ili akina mama wapate huduma nzuri pindi wanapojifungua.

Akizungumza na Michuzi Tv  wa kuelekea Kampeni ya "Wanawake wanataka nini ,Sikiliza Chukua Hatua" iliyoandaliwa na Shirika hilo amesema katika uzazi kuna chabgamoto nyingi wakati wa kujifingua hivyo wanaiomba serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania kuzindua ripoti ya Sauti za Wananchi LEO

MlayBi. Rose Mlay-Mratibu wa Taifa, Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania akifafanua jambo katika moja ya shughuli za Muungano huo wa Utepe Mweupe hapa nchini.  Muungano huo asubuhi ya leo katika makao makuu ya ofisi zao,  wanatarajia kuzindua rasmi ripoti ya sauti ya wananchi.

Soma hapa kwa taarifa zaidi:

UZINDUZI WA RIPOTI YA SAUTI ZA WANANCHI.pdf 

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA UTEPE MWEUPE WAKUTANA WAZIRI MKUU PINDA, KUJADILI NAMNA YA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO

Wajumbe wa Mkutano kati ya Utepe Mweupe na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo Ikulu. Mkutano wa Waziri Mkuu na wajumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe ukiendelea.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waiomba Serikali kuongeza kina cha maji

WAFANYABIASHARA wanaotumia kivuko cha Kilambo kilichopo wilaya ya Mtwara vijijini, mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuona umuhimu wa kuongeza kina cha maji katika kivuko hicho. Wakizungumza na Tanzania Daima juzi  wafanyabiashara...

 

10 years ago

StarTV

Vijana wa Kikosi cha 838 KJT waiomba serikali kuongeza muda

Vijana wa JKT kikosi cha 838 KJ Maramba wameiomba serikali kuongeza muda wa mafunzo kwa kuwa muda wa miezi mitatu wanashindwa kuingia kwa undani kwenye somo la uadilifu na uzalendo mambo ambayo ndio changamoto inayolikabili Taifa.

Katika risala yao kwa mkiuu wa jeshi la kujenga Taifa JKT na mkuu wa Mkoa wa Tanga,vijana hao pia wameomba kukarabatiwa kwa mabweni ya kulalia ili vijana wengi waweze kuvutiwa na mafunzo hayo.Kuvuka vikwazo ni sehemu ya kufuzu mafunzo ya kijeshi kwa vijana wa JKT...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA UTEPE MWEUPE WAKEMEA TABIA YA UUZAJI DAMU HOSPITALINI‏

Baadhi ya wananchi wa Namanyere wilayani Nkasi wakichangia damu katika siku ya uzinduzi wa siku ya Utepe mweupe. Mmoja wa wananchi akichangia damu huku akisaidiwa na daktari.…

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali kuongeza idadi ya watalii nchini

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake wa Washington DC, Marekani, imeanza mikakati ya kuongeza idadi ya watalii wanaotoka nchini humo kutoka 69,000 hadi kufikia 300,000 kwa mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo wakati akifungua mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kimewakutanisha viongozi wakuu wa Wizara tano kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto- Muungano ni imani si idadi ya Serikali

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Kabwe Zitto amesema muundo wowote wa serikali uwe serikali moja, mbili au tatu unaweza kuvunja Muungano ikiwa hakutakuwa na muafaka wa pande zote mbili za Muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani