Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANDAO WA UTEPE MWEUPE WAKEMEA TABIA YA UUZAJI DAMU HOSPITALINI‏

Baadhi ya wananchi wa Namanyere wilayani Nkasi wakichangia damu katika siku ya uzinduzi wa siku ya Utepe mweupe. Mmoja wa wananchi akichangia damu huku akisaidiwa na daktari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Muungano wa Utepe mweupe waiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga

 Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

MRATIBU  wa Shirika lisilo la kiserikali la Utepe Mweupe (White Ribbon), nchini  Rose Mlay ameiomba serikali kuongeza idadi ya wakunga katika vituo vya afya, zahanati na hospitali za mikoa ili akina mama wapate huduma nzuri pindi wanapojifungua.

Akizungumza na Michuzi Tv  wa kuelekea Kampeni ya "Wanawake wanataka nini ,Sikiliza Chukua Hatua" iliyoandaliwa na Shirika hilo amesema katika uzazi kuna chabgamoto nyingi wakati wa kujifingua hivyo wanaiomba serikali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania kuzindua ripoti ya Sauti za Wananchi LEO

MlayBi. Rose Mlay-Mratibu wa Taifa, Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania akifafanua jambo katika moja ya shughuli za Muungano huo wa Utepe Mweupe hapa nchini.  Muungano huo asubuhi ya leo katika makao makuu ya ofisi zao,  wanatarajia kuzindua rasmi ripoti ya sauti ya wananchi.

Soma hapa kwa taarifa zaidi:

UZINDUZI WA RIPOTI YA SAUTI ZA WANANCHI.pdf 

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA UTEPE MWEUPE WAKUTANA WAZIRI MKUU PINDA, KUJADILI NAMNA YA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO

Wajumbe wa Mkutano kati ya Utepe Mweupe na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo Ikulu. Mkutano wa Waziri Mkuu na wajumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe ukiendelea.…

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAKEMEA TABIA YA KUADHIBU WANYAMA.

Mkurugenzi wa Huduma za mifungo Tanzania katika wizara ya Kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt. Abdu Hayghaimo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kusikitishwa kwao kama wizara kutokana na wanyama kuadhibiwa bila hatia yoyote kwenye migogoro kati ya wakulima na wafugaji hapa nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Judith Mliwa.Daktari wa Mifugo wa kurugenzi ya huduma za mifugo wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt....

 

11 years ago

Mwananchi

Uuzaji damu wamkera Mama Salma Kikwete

Waganga na watumishi wa afya watakaouza damu kwa wagonjwa watachukuliwa hatua kali za kinidhamu, ikiwamo kufukuzwa kazi na mamlaka husika kwa vile ni kitendo kisichokubalika katika jamii.

 

10 years ago

Michuzi

KAYMU YAFUNGUA KITUO UUZAJI WA BIDHAA KWA NJIA YA MTANDAO

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Kampuni ya Kaymu imefungua tawi lake Kariakoo kwa ajili ya wafanyabiashara na wanunuzi kwa njia ya mtandao pamoja na uhifadhi wa bidhaa kabla hazijasafirishwa kwenda maeneo husika, hali ambayo itasaidia kuwapunguzia usumbufu wauzaji waliokubaliana na kampuni hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Meneja wa Kaymu Tanzania, Erfaan Mojgani amesema kufungua huduma kwa njia ya mtandao ni kurahisisha uendeshaji biashara pamoja na kuondoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani