Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAKEMEA TABIA YA KUADHIBU WANYAMA.

Mkurugenzi wa Huduma za mifungo Tanzania katika wizara ya Kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt. Abdu Hayghaimo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kusikitishwa kwao kama wizara kutokana na wanyama kuadhibiwa bila hatia yoyote kwenye migogoro kati ya wakulima na wafugaji hapa nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Judith Mliwa.Daktari wa Mifugo wa kurugenzi ya huduma za mifugo wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UTEUZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MIFUGO NA UVUVI


Dodoma, Juni 22, 2020

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Veterinari Na. 16 ya Mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania kama ifuatavyo: -Dkt. Bhakilana Augustine Mafwere Mwakilishi Chama cha Wafanyabiashara wa Dawa                                                                  za  Wanyama
Prof. Amandus Pachifius Muhairwa Mwakilishi,...

 

5 years ago

Michuzi

Mawaziri wa SADC wa Kilimo,Mifugo, Uvuvi kufanya tathimini ya majanga.


Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

Mawaziri wa Sekta wa Kilimo,Mifugo,Uvuvi pamoja wa nchi zilizo Kusini Mwa Jangwa la Sahara (SADC) zimekubaliana kufanya tathimini ya miezi mitatu madhara yaliyotokana na majanga mbalimbali ikiwemo na ugonjwa wa Virusi vya Corona ili kuweza kusaidia Sekta hiyo kuimarika.

Akizungumza katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Sekta ya Kilimo, Mifugo,Uvuvi na Usalama wa Chakula ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhanga Mpina amesema kuwa Mkutano huo wameazimia kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Mifigo na Uvuvi kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA UTEPE MWEUPE WAKEMEA TABIA YA UUZAJI DAMU HOSPITALINI‏

Baadhi ya wananchi wa Namanyere wilayani Nkasi wakichangia damu katika siku ya uzinduzi wa siku ya Utepe mweupe. Mmoja wa wananchi akichangia damu huku akisaidiwa na daktari.…

 

5 years ago

Michuzi

UKATILI WA KISHENZI WA BINADAMU USIFANANISHWE NA TABIA ZA WANYAMA


Charles James, Michuzi TV

WIKI Moja sasa imepita toka Askari wa Zimamoto na Uokoaji, Denis Minja alipomuokoa mtoto ambaye alikua ametupwa kwenye shimo la Choo cha Shule ya Msingi Murgwanza wilayani Ngara, Kagera.

Nikukumbushe mtoto huyo alikua na umri wa mwaka mmoja na miezi sita na inasadikika alitupwa na Mama yake katika shimo hilo lenye urefu wa futi 30.

Fikiria Binadamu aliezaliwa bila kutupwa na wazazi wake yeye anakuja kumtupa mtoto mdogo kiasi hiko kwenye shimo la choo. Lengo lake bila...

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi afanya ziara katika Wilaya ya Momba na Mkoa wa Rukwa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile). Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani