Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wa SADC wa Kilimo,Mifugo, Uvuvi kufanya tathimini ya majanga.


Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

Mawaziri wa Sekta wa Kilimo,Mifugo,Uvuvi pamoja wa nchi zilizo Kusini Mwa Jangwa la Sahara (SADC) zimekubaliana kufanya tathimini ya miezi mitatu madhara yaliyotokana na majanga mbalimbali ikiwemo na ugonjwa wa Virusi vya Corona ili kuweza kusaidia Sekta hiyo kuimarika.

Akizungumza katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Sekta ya Kilimo, Mifugo,Uvuvi na Usalama wa Chakula ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhanga Mpina amesema kuwa Mkutano huo wameazimia kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAKEMEA TABIA YA KUADHIBU WANYAMA.

Mkurugenzi wa Huduma za mifungo Tanzania katika wizara ya Kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt. Abdu Hayghaimo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kusikitishwa kwao kama wizara kutokana na wanyama kuadhibiwa bila hatia yoyote kwenye migogoro kati ya wakulima na wafugaji hapa nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Judith Mliwa.Daktari wa Mifugo wa kurugenzi ya huduma za mifugo wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi, Dkt....

 

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Kilimo na mifugo Kaole, Bagamoyo, Kufanya mahafali ya pili Jumamosi hii Julai 12, 2014

 Na Andrew Chale, BagamoyoCHUO  cha Kilimo na Mifugo Kaole (Kaole College of agriculture (KCA), kesho Jumamosi Julai 12, kinatarajia kufanya mahafali yake ya pili chuoni hapo huku wahitimu  291, wakitarajiwa kutunukiwa vyeti mbalimbali.Akizungumza mjini hapa,  principle wa chuo hicho,  Cuthbert Liwa alisema kuwa, tayari maandalizi yamekamilika na mahafali hayo yatafanyika kwenye viwanja vya chuo hiko.“Jumla ya wahitimu 291, wanatarajiwa kuhitimu na kutunukiwa  vyeti vyao.   Kati ya hao,...

 

5 years ago

Michuzi

UTEUZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MIFUGO NA UVUVI


Dodoma, Juni 22, 2020

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Veterinari Na. 16 ya Mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania kama ifuatavyo: -Dkt. Bhakilana Augustine Mafwere Mwakilishi Chama cha Wafanyabiashara wa Dawa                                                                  za  Wanyama
Prof. Amandus Pachifius Muhairwa Mwakilishi,...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Mifigo na Uvuvi kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi afanya ziara katika Wilaya ya Momba na Mkoa wa Rukwa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile). Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa...

 

9 years ago

Michuzi

TATHIMINI YA KUSOMA KISWAHILI, KIINGEREZA NA KUFANYA HESABU KUFANYIKA WILAYANI TARIME.

Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA chini ya ufadhiri wa Taasisi ya TWAWEZA kupitia mradi wake wa UWEZO ambao umelenga kufanya kazi ya kutathimini hali ya kielimu katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda linatarajia kufanya tathimini kwa watoto (Wanafunzi na wasio wanafunzi) walio na umri kati ya miaka saba hadi 16 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara kwa lengo la kubaini hali ya kielimu na changamoto zake ilivyo wilayani humo.Na:Binagi Media GroupIli kufanikisha zoezi hilo, SHIMATA imetoa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR

 Naibu Waziri wa  Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani