Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATHIMINI YA KUSOMA KISWAHILI, KIINGEREZA NA KUFANYA HESABU KUFANYIKA WILAYANI TARIME.

Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA chini ya ufadhiri wa Taasisi ya TWAWEZA kupitia mradi wake wa UWEZO ambao umelenga kufanya kazi ya kutathimini hali ya kielimu katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda linatarajia kufanya tathimini kwa watoto (Wanafunzi na wasio wanafunzi) walio na umri kati ya miaka saba hadi 16 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara kwa lengo la kubaini hali ya kielimu na changamoto zake ilivyo wilayani humo.Na:Binagi Media GroupIli kufanikisha zoezi hilo, SHIMATA imetoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?

Suala la matumizi ya lugha Tanzania limeleta ushindani mzito kati ya Kiswahili na Kiingereza.

 

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

10 years ago

GPL

MTOTO NICE MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU ATINGA GLOBAL PUBLISHERS LEO


Mtoto Nice Valentino akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. MTOTO Nice Valentino mwenye miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kipekee wa kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi pamoja na kukokotoa mahesabu leo ametembelea ofisi za Global Publishers na kufanyiwa mahojiano na Global TV Online. Mbali na kuongea kiingereza fasaha, Nice hajawahi kwenda shule yoyote kujifunza lugha hiyo ya… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili ni cha wasiojua Kiingereza?

Katika nchi nyingi za Afrika, jamii imejigawa katika jamii ndogondogo ziitwazo makabila.

 

5 years ago

Michuzi

Mawaziri wa SADC wa Kilimo,Mifugo, Uvuvi kufanya tathimini ya majanga.


Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

Mawaziri wa Sekta wa Kilimo,Mifugo,Uvuvi pamoja wa nchi zilizo Kusini Mwa Jangwa la Sahara (SADC) zimekubaliana kufanya tathimini ya miezi mitatu madhara yaliyotokana na majanga mbalimbali ikiwemo na ugonjwa wa Virusi vya Corona ili kuweza kusaidia Sekta hiyo kuimarika.

Akizungumza katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Sekta ya Kilimo, Mifugo,Uvuvi na Usalama wa Chakula ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhanga Mpina amesema kuwa Mkutano huo wameazimia kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

GRAFOGEMU KISWAHILI: Teknolojia muhimu ya kufunza kusoma

TATIZO la kutojua kusoma kwa watoto wa shule za msingi nchini ni janga kubwa. Tafiti zinaonyesha watoto hawajengewi stadi sahihi zitakazowawezesha kujifunza kusoma na kuandika. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Kiislam Wilayani Kilwa washiriki Mashindano ya Kusoma Quraan

Na Abdulaziz Video,Lindi.
Viongozi wa Dini wilayani Kilwa mkoani Lindi wametakiwa kuhubiri Amani,umoja na mshikamano wanapokuwapo kwenye ibada zao ili kuliombea Taifa lisiingie kwenye vurugu zinazoweza kusababisha uvunjivu wa amani ya nchi Hususan katika mchakato wa katiba mpya
Akihutubia waislam walioshiriki katika shindano la kila mwaka la Usomaji wa Quran,Mkuu wa wilaya ya kilwa,Abdallah Ulega ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika Kuelimisha na kukemea waumini...

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA KIJIJI CHA KENYAMANYORI WILAYANI TARIME WANASTAHILI PONGEZI.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Ni ukweli usiopingika kuwa uongozi wa kijiji hicho pamoja na wananchi wake ambao asilimia kubwa ni wakulima, wanastahili pongezi kwani wazo lao la kujenga shule ya sekondari ni wazo bora na limewasaidia watoto wa kijiji hicho na wale wanaotoka vijiji jirani kupata elimu karibu zaidi hivyo ni vyema wakaendelea kushirikiana na serikali pamoja na wahisani wengi katika kuhakikisha kwamba wanaiboresha zaidi shule hiyo ili iweze kuwa mkombozi kwa ajili ya watoto wao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani