Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GRAFOGEMU KISWAHILI: Teknolojia muhimu ya kufunza kusoma

TATIZO la kutojua kusoma kwa watoto wa shule za msingi nchini ni janga kubwa. Tafiti zinaonyesha watoto hawajengewi stadi sahihi zitakazowawezesha kujifunza kusoma na kuandika. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA: Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya kufunza utengenezaji wa roboti

>Wakati vijana wengi wanaomaliza vyuo mbalimbali wakikosa kazi, wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must)  cha jijini Mbeya kwa kushirikiana na serikali ya Italia, wanatarajia kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu utengenezaji wa roboti zinazosaidia kufanya kazi viwandani.

 

9 years ago

Michuzi

TATHIMINI YA KUSOMA KISWAHILI, KIINGEREZA NA KUFANYA HESABU KUFANYIKA WILAYANI TARIME.

Shirika la Maendeleo Tarime SHIMATA chini ya ufadhiri wa Taasisi ya TWAWEZA kupitia mradi wake wa UWEZO ambao umelenga kufanya kazi ya kutathimini hali ya kielimu katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda linatarajia kufanya tathimini kwa watoto (Wanafunzi na wasio wanafunzi) walio na umri kati ya miaka saba hadi 16 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara kwa lengo la kubaini hali ya kielimu na changamoto zake ilivyo wilayani humo.Na:Binagi Media GroupIli kufanikisha zoezi hilo, SHIMATA imetoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ushirikiano kukuza Kiswahili muhimu

Ushirikiano wa pamoja baina wa vyombo vinavyokuza lugha ya Kiswahili unahitajika sana. Ushirikiano huu unahitajika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwa mfano ndani ya nchi yetu ya Tanzania viko vyombo vya serikali na vya watu binafsi ambavyo vinajishughulisha na lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.





 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma  na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akishiriki katika darasa mojawapo la mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha  hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.

“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
 Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..

Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.

Mzee wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kufunza ujasiriamali

ILI kuondoka na wimba la ukosefu wa ajiri kwa vijana, Serikali imeshauriwa kuingiza somo ya ujasiriamali katika mitaala yake katika ngazi za elimu ilitolewayo hapa nchini. Ushauri huo ulitolewa mwishoni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Helena Costa kufunza wanaume

Helena Costa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa timu ya kulipwa ya wanaume nchini Ufaransa

 

10 years ago

Habarileo

Mazungumzo yafanywa kufunza kichina shuleni

VIJANA wote walio shuleni wameshauriwa kuanza kuchangamkia udhamini wa kujifunza lugha ya kichina ili kuwa na uwezo wa kufanya biashara na Jamhuri ya watu wa China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani