Vijana wa Kiislam Wilayani Kilwa washiriki Mashindano ya Kusoma Quraan
![](http://1.bp.blogspot.com/-FgjxZO6oAts/U8aFuiy1euI/AAAAAAAF2xg/cUyKqiv1SxM/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Na Abdulaziz Video,Lindi.
Viongozi wa Dini wilayani Kilwa mkoani Lindi wametakiwa kuhubiri Amani,umoja na mshikamano wanapokuwapo kwenye ibada zao ili kuliombea Taifa lisiingie kwenye vurugu zinazoweza kusababisha uvunjivu wa amani ya nchi Hususan katika mchakato wa katiba mpya
Akihutubia waislam walioshiriki katika shindano la kila mwaka la Usomaji wa Quran,Mkuu wa wilaya ya kilwa,Abdallah Ulega ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika Kuelimisha na kukemea waumini...
Michuzi