UTEUZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
Dodoma, Juni 22, 2020
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Veterinari Na. 16 ya Mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania kama ifuatavyo: -Dkt. Bhakilana Augustine Mafwere Mwakilishi Chama cha Wafanyabiashara wa Dawa za Wanyama
Prof. Amandus Pachifius Muhairwa Mwakilishi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
9 years ago
Michuzi
WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAKEMEA TABIA YA KUADHIBU WANYAMA.


10 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR LEO
.jpg)
.jpg)
5 years ago
Michuzi
Mawaziri wa SADC wa Kilimo,Mifugo, Uvuvi kufanya tathimini ya majanga.
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Mawaziri wa Sekta wa Kilimo,Mifugo,Uvuvi pamoja wa nchi zilizo Kusini Mwa Jangwa la Sahara (SADC) zimekubaliana kufanya tathimini ya miezi mitatu madhara yaliyotokana na majanga mbalimbali ikiwemo na ugonjwa wa Virusi vya Corona ili kuweza kusaidia Sekta hiyo kuimarika.
Akizungumza katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Sekta ya Kilimo, Mifugo,Uvuvi na Usalama wa Chakula ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhanga Mpina amesema kuwa Mkutano huo wameazimia kufanya...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo
.jpg)
10 years ago
Michuzi
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi afanya ziara katika Wilaya ya Momba na Mkoa wa Rukwa


5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Wizara yacharukia Uvuvi Haramu Igunga
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kanda ya kati imewaagiza watu wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi,lililopo katika Kijiji cha Mwanzugi,wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora usiofuata taratibu zilizowekwa waache mara moja na kwamba endapo wataendelea kukaidi amri hiyo halali hatua kali na za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Afisa Uvuvi Mfawidhi na uvunaji wa viumbe hai Kanda ya kati,Bwana Renatus Charles Karumbeta alisema hayo katika mahojiano maalumu na...