Wizara yacharukia Uvuvi Haramu Igunga
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kanda ya kati imewaagiza watu wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi,lililopo katika Kijiji cha Mwanzugi,wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora usiofuata taratibu zilizowekwa waache mara moja na kwamba endapo wataendelea kukaidi amri hiyo halali hatua kali na za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Afisa Uvuvi Mfawidhi na uvunaji wa viumbe hai Kanda ya kati,Bwana Renatus Charles Karumbeta alisema hayo katika mahojiano maalumu na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
11 years ago
Habarileo04 May
Zana haramu za uvuvi zateketezwa
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Ukerewe kukabiliana na uvuvi haramu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza limetangaza kuwa tatizo la uvuvi haramu, hasa wa kutumia sumu ni janga, hivyo kupitisha azimio la kulikabili.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mbaroni kwa uvuvi haramu
JESHI la Polisi mkoani Kigoma, linawashikilia watu watano wakiwemo raia wa Burundi kwa tuhuma za uvuvi haramu katika Ziwa Tanganyika eneo la kijiji cha Kiziba Wilaya ya Kigoma Vijijini, baada...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Doria za uvuvi haramu kuendelea
DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Uvuvi haramu washusha upatikanaji samaki
10 years ago
Mwananchi19 Aug
‘Sheria kali uvuvi haramu zitolewe’
10 years ago
Habarileo12 Jun
SMZ yafanikiwa kuthibiti uvuvi haramu
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu ambao umekuwa chanzo kikubwa cha kuharibu rasilimali za baharini ikiwemo samaki ambao wengi huvuliwa wakiwa hawafai kwa matumizi ya kula.
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Zana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema
Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa. Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi shupavu Bw. Henry Kaswahili.
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
Zana haramu za kuvulia Samaki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili na laki tani zimekamatwa na kuteketezwa na Afisa uvuvi tarafa ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Bw.Henry Kaswahili.
Kwa mujibu wa...