Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uvuvi haramu washusha upatikanaji samaki

Chama cha Wavuvi Tanzania (Taf) kimesema hali ya upatikanaji samaki kwenye Ziwa Victoria imeshuka kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya uvuvi haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa samaki washusha mapato

Uongozi katika soko la samaki Kivukoni umesema upatikanaji wa samaki katika Bahari ya Hindi umeshuka kutoka tani nne kwa siku hadi kufikia tani 1.5 kutokana na mabadiliko ya tabianchi, hivyo kuathiri mapato katika soko hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uvuvi wamuangamiza samaki mkubwa

Samaki aliye na urefu wa mita tatu aliyekuwa maarufu katika mto Amazon amevuliwa hadi ameangamia

 

11 years ago

Habarileo

Zana haramu za uvuvi zateketezwa

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.

 

11 years ago

Habarileo

Ukerewe kukabiliana na uvuvi haramu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza limetangaza kuwa tatizo la uvuvi haramu, hasa wa kutumia sumu ni janga, hivyo kupitisha azimio la kulikabili.

 

11 years ago

Habarileo

Doria za uvuvi haramu kuendelea

DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa uvuvi haramu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma, linawashikilia watu watano wakiwemo raia wa Burundi kwa tuhuma za uvuvi haramu katika Ziwa Tanganyika eneo la kijiji cha Kiziba Wilaya ya Kigoma Vijijini, baada...

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yafanikiwa kuthibiti uvuvi haramu

Abdilahi Jihadi HassanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu ambao umekuwa chanzo kikubwa cha kuharibu rasilimali za baharini ikiwemo samaki ambao wengi huvuliwa wakiwa hawafai kwa matumizi ya kula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani