Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sheria kali uvuvi haramu zitolewe’

Serikali imetakiwa kuweka sheria kali ya uvuvi haramu baharini pamoja na kuwafutia leseni wanaojishughulisha na vitendo hivyo kwa lengo la kulinda viumbe hai wa baharini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI-WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini mara...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI - WAZIRI MKUU

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo ambaye amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI



 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akisikiliza hoja na malalamiko kutoka kwa mmoja wadau wa sekta ya uvuvi katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso ( wa kwanza kutoka kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wakikagua punda...

 

11 years ago

Habarileo

Zana haramu za uvuvi zateketezwa

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa uvuvi haramu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma, linawashikilia watu watano wakiwemo raia wa Burundi kwa tuhuma za uvuvi haramu katika Ziwa Tanganyika eneo la kijiji cha Kiziba Wilaya ya Kigoma Vijijini, baada...

 

11 years ago

Habarileo

Ukerewe kukabiliana na uvuvi haramu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza limetangaza kuwa tatizo la uvuvi haramu, hasa wa kutumia sumu ni janga, hivyo kupitisha azimio la kulikabili.

 

11 years ago

Habarileo

Doria za uvuvi haramu kuendelea

DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara yacharukia Uvuvi Haramu Igunga

131112134616_fishing_tz_640x360_bbc_nocredit

Na Mwandishi wetu

Wizara ya Mifugo na Uvuvi kanda ya kati imewaagiza watu wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi,lililopo katika Kijiji cha Mwanzugi,wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora usiofuata taratibu zilizowekwa waache mara moja na kwamba endapo wataendelea kukaidi amri hiyo halali hatua kali na za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Afisa Uvuvi Mfawidhi na uvunaji wa viumbe hai Kanda ya kati,Bwana Renatus Charles Karumbeta alisema hayo katika mahojiano maalumu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani