UKATILI WA KISHENZI WA BINADAMU USIFANANISHWE NA TABIA ZA WANYAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-DOVeELA2DQk/XtXyEOonLTI/AAAAAAALsSM/fUqIHcJ0nMgbj-b0_KMJewdZBOVuneiDwCLcBGAsYHQ/s72-c/b4f2827c-6163-4196-ae53-0b8bb7352538.jpg)
Charles James, Michuzi TV
WIKI Moja sasa imepita toka Askari wa Zimamoto na Uokoaji, Denis Minja alipomuokoa mtoto ambaye alikua ametupwa kwenye shimo la Choo cha Shule ya Msingi Murgwanza wilayani Ngara, Kagera.
Nikukumbushe mtoto huyo alikua na umri wa mwaka mmoja na miezi sita na inasadikika alitupwa na Mama yake katika shimo hilo lenye urefu wa futi 30.
Fikiria Binadamu aliezaliwa bila kutupwa na wazazi wake yeye anakuja kumtupa mtoto mdogo kiasi hiko kwenye shimo la choo. Lengo lake bila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Lyo8brbdheM/VoJNzj16esI/AAAAAAAIPIA/jWVrFn64ics/s72-c/IMG_9633.jpg)
WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAKEMEA TABIA YA KUADHIBU WANYAMA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lyo8brbdheM/VoJNzj16esI/AAAAAAAIPIA/jWVrFn64ics/s640/IMG_9633.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IycCh-ujHl8/VoJN001AanI/AAAAAAAIPIQ/bOMZ-UVoTQ0/s640/IMG_9681.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_03481.jpg?width=650)
MAPAMBANO YA UKATILI YANAITAJI NGUVU ZA PAMOJA - TUME YA HAKI ZA BINADAMU
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Mapambano ya ukatili yanahitaji nguvu za pamoja — Tume ya Haki za Binadamu
Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizungumza.
![Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizindua eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_03901.jpg)
Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizindua eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.
![Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizungumza.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0396.jpg)
Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sdzCm2mQasc/VijHV3LT17I/AAAAAAAAE50/JAikOfuvPG8/s72-c/1.jpg)
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-sdzCm2mQasc/VijHV3LT17I/AAAAAAAAE50/JAikOfuvPG8/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1jiUFRYnO2s/VijHclt6wII/AAAAAAAAE58/VpaB20eNO_8/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HwLSGqa5iPA/VijHzxQEmKI/AAAAAAAAE6E/QO2UWhpIRX8/s640/3.jpg)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80279000/jpg/_80279746_victorwanyama.jpg)
Wanyama 'could be out for weeks'
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Wanyama kuikosa safari na Southmptom
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Hoteli ya wanyama yafunguliwa Singapore