Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ataka ulinzi wa uhakika mitambo ya gesi

UJENZI wa mitambo ya uchakataji wa gesi katika eneo la Madimba umepamba moto na inaelezwa kuwa wanavijiji wa eneo hilo na wale wa Songosongo licha ya kufaidika na umeme, lakini pia watapewa huduma ya majisafi na salama bure.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.

Ni majira ya saa 10 na dakika 10 Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Mhongo ndipo alipofika katika mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinachomilikiwa na Tanesco bila ya kutoa taarifa na kukuta wafanyakazi pamoja na wahandisi wa kituo hicho cha umeme wakiendelea na kazi katika mitambo hiyo. 
Na kukagua mitambo hiyo leo  na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Mwananchi

DCI ataka ulinzi na usalama uingizwe BRN

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amependekeza suala la ulinzi na usalama lipewe kipaumbele na kuwekwa katika mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye ataka gesi ifute umasikini

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick SumayeALIYEKUWA Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, amesema Watanzania na wananchi wa mataifa ambako kumegundulika gesi na mafuta, wanapaswa kufahamu hatma ya kuondoa umasikini wa nchi yao, iko mikononi mwao.

 

11 years ago

Mwananchi

JK ataka wawekezaji waaminifu katika gesi

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania inahitaji washirika wawekezaji waaminifu katika sekta ya gesi, ili kuwezesha Watanzania kunufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi

Mizengo-PindaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.

Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.

Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.

“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda atembelea masalia ya vurugu za gesi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametembelea makazi na ofisi zilizochomwa moto wakati wa vurugu za gesi mkoani Mtwara na kuelezewa baadhi ya sababu za vurugu hizo. Akielezea sababu hizo, Mkuu wa Wilaya Masasi, Farida Mgomi alisema moja ya sababu za vurugu katika Mji wa Masasi na vitongoji vyake, ni madai na uchochezi kwamba viongozi wa CCM katika wilaya, wameshindwa kuwajibika kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani