Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda atembelea masalia ya vurugu za gesi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametembelea makazi na ofisi zilizochomwa moto wakati wa vurugu za gesi mkoani Mtwara na kuelezewa baadhi ya sababu za vurugu hizo. Akielezea sababu hizo, Mkuu wa Wilaya Masasi, Farida Mgomi alisema moja ya sababu za vurugu katika Mji wa Masasi na vitongoji vyake, ni madai na uchochezi kwamba viongozi wa CCM katika wilaya, wameshindwa kuwajibika kwa wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pinda ataka waumini nchini kukataa vurugu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka Watanzania na waumini wa madhehebu ya dini zote kutokubali kuiingiza nchi katika vurugu na kukataa vishawishi vitakavyosababisha uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi

Mizengo-PindaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.

Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.

Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.

“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Bomba la gesi kukamilika mwaka huu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zoezi la utandazaji mabomba ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ‘kuinadi’ gesi ya Mtwara, mafuta Qatar

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi pamoja na maeneo mengine ya kiuchumi ikiwemo utalii na fursa za biashara.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka ulinzi wa uhakika mitambo ya gesi

UJENZI wa mitambo ya uchakataji wa gesi katika eneo la Madimba umepamba moto na inaelezwa kuwa wanavijiji wa eneo hilo na wale wa Songosongo licha ya kufaidika na umeme, lakini pia watapewa huduma ya majisafi na salama bure.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda akagua mtambo wa kuchakata gesi Mtwara

IMGL3552

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi  unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL3620

IMGL3562

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  wahadisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi  kwa gharama za serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali kutoka Ilagala, Kigoma wakati alipotembelea banda la Asali kwenye maonyesho ya Biashara ya Kiataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam Jumlai 2, 2014. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Bishara, Dr.Abdallah Kigoda. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali kutoka Ilagala, Kigoma wakati alipotembelea banda la Asali kwenye maonyesho ya Biashara ya Kiataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani