Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kuacha kubweteka, wafanye kazi


NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
WAKAZI wa kata ya Mbugani jijini Mwanza, wametakiwa kujitolea ili kujiletea maendeleo badala ya kusubiri kufanyiwa kila kitu na serikali.
Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa
Mtaa wa Mabatini Kaskazini, Ntobi Boniface, alipozungumza na  waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo alisema kujituma huleta maendeleo katika jamii.
Alisema kuwepo changamoto hususan katika utengezaji wa barabara za mitaa, ujenzi wa maabara na miradi mingine ya maendeleo, ni kikwazo kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Waandishi walioshinda uongozi watakiwa kuacha kazi

MUUNGANO wa Klabu za Waandishi wa Habari Nchini (UTPC), umewataka waandishi wa habari walioshinda nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwemo ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni, wajitokeze hadharani kuutangazia umma kuwa sasa wanaachana na kazi za uandishi wa habari.

 

10 years ago

Habarileo

Mama Salma ataka Lindi wafanye kazi kwa bidii

WAKAZI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

Bongo5

Ma-producer wenzangu wafanye kazi kwa bidii ili wapate nafasi ya kuwania tuzo za kimataifa — Sheddy Clever

Producer Sheddy Clever ambaye alipata nafasi ya kuchaguliwa mara mbili kuwania tuzo za nje za AFRIMMA akiwa producer pekee wa Tanzania kwenye tuzo hizo, ametoa wito kwa watayarishaji wenzake kufanya kazi kwa bidii ili nchi yetu iwe inawawakilishi wengi katika tuzo mbalimbali za kimataifa. Sheddy ambaye ametayarisha hit song ya Diamond ‘Number One’ iliyomfungulia mafanikio […]

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi

Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.

Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuacha huduma za uzazi

 Ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, waganga wa jadi na tiba asilia wameombwa kujiepusha na utoaji huduma za uzazi kwa lengo la kujipatia fedha.

 

10 years ago

Habarileo

Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva watakiwa kuacha kulewa

MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania watakiwa kuacha ngono zembe

5

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya Virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean Bwanakunu (kulia).(Picha na Maktaba).

Na Mwandishi wetu

Watanzania wametakiwa kuepukana vitendo vya kuhamasisha ngono zembe itakayosababisha  maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean...

 

11 years ago

Habarileo

Watumishi watakiwa kuacha ugonjwa wa vikao

WATUMISHI wa umma kuanzia ngazi za Serikali za Mitaa hadi Serikali Kuu, wametakiwa kuacha ‘ugonjwa’ wa vikao, badala yake wakae ofisini kuwatumikia wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani