Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kusubiri Kumekwisha, Ligi ya Primia Imerejea!

 BAADA ya kusubiri kwa miezi mitatu kwa wapenzi na mashabiki vindaki ndaki kutoka pande zote  Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea rasmi leo.  Mchezo wa kongwe na wa kufurahisha zaidi unawarudisha wakali halisi mchezoni, na Meridianbet imejali burudani hii na kukuletea odds bora kwa ajili yako. Shindano la Ligi Kuu Uingereza ni la kipekee na lina machaguo zaidi ya 9000 za kwa ajili yako!
Ni kwa Meridianbet pekee, utapata mechi 92 za SOKA BORA UINGEREZA ambazo zitachezwa mwezi ujao na nusu. Na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Taji la ligi ya England: Jinsi kocha Jurgen Klopp alivyoisaidia Liverpool kushinda taji la Ligi ya Primia.

Jurgen Klopp amechangia pakubwa katika ushindi wa Liverpool kwenye Ligi ya Primia.

 

11 years ago

Dewji Blog

Primia ya Afrika ya “Half of a Yellow Sun” yafanyika Zanzibar

Half of a Yellow Sun FILM TIE IN B PB.indd
DSC_0234

Dairekta wa filamu ya Half of a Yellow Sun, Biyi Bandele akizungumza na wadau wa sinema kabla sinema yake hajafanyiwa Primia ya Afrika mjini Zanzibar. Kushoto ni mratibu wa majaji ZIFF, Fabrizio Colombo kutoka Italia.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

TANZANIA imebahatika kufanya Primia ya Afrika kwa sinema ya Half of a Yellow Sun , miezi miwili tu baada ya sinema hiyo kuzuiwa kimtindo nchini Nigeria ambako mtengenezaji ndiko nyumbani kwake.

Sinema hiyo ilioneshwa jana katika ukumbi wa wazi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama kusubiri matokeo

Shughuli mbalimbali za kibiashara jana zilisimama katikati ya Jiji la Mwanza baada ya wafanyabiashara kufunga maduka wakihofia kutokea vurugu wakati wa kutangaza matokeo ya wagombea ubunge wa Jimbo la Nyamagana na Ilemela.

 

10 years ago

GPL

ACHA HARAKA, JIFUNZE KUSUBIRI?

NIANZE kwa kuwatakia siku njema ya Jumatano ya kwanza kabisa ya Desemba, ikiwa ni ishara kwamba mwisho wa mwaka unakaribia. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba tumekuwa miongoni mwa waliochaguliwa kuuona mwezi huu, ingawa yatupasa tuombe sana ili tuumalize. Maana mnajua kwa kiasi gani wapendwa wetu walivyopotea na hatutawaona tena. Mada yangu leo kama unavyoweza kuiona hapo juu kwenye kichwa chake cha habari, inawazungumzia zaidi...

 

11 years ago

GPL

PRIMIA YA AFRIKA YA "HALF OF A YELLOW SUN" YAFANYIKA ZANZIBAR‏

Dairekta wa filamu ya Half of a Yellow Sun, Biyi Bandele akizungumza na wadau wa sinema kabla sinema yake hajafanyiwa Primia ya Afrika mjini Zanzibar. Kushoto ni mratibu wa majaji ZIFF, Fabrizio Colombo kutoka Italia. Wasanii mbalimbali na waandishi wa habari wakiwa katika moja ya mikutano ya wasanii na waandishi wa habari kwenye tamasha linaloendelea la nchi za majahazi ZIFF mjini Zanzibar.… ...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaojipitisha kusaka uongozi watakiwa kusubiri


NA MWANDISHI WETU
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya CCM,  Dk. Edmund Mndolwa, amesema viongozi wanaojipitisha kwa ajili ya kutaka uongozi ndani ya chama, wanawachanganya wananchi, hivyo wasubiri muda ufike.
Aidha, amewataka baadhi ya viongozi wa CCM, wanaowatumia viongozi wa dini kuwatetea wakati wanapokosolewa, kuacha mara moja tabia hiyo.
Dk. Mndolwa alisema hayo mjini Dar es Salaam, jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema muda wa kupata wagombea ndani ya chama...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wajipanga foleni ya kitanda kusubiri kujifungua

WANAWAKE wa kijiji cha Ibihwa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameomba kuongezewa vitanda vya kujifungulia kutokana na zahanati wanayotumia kuwa na kitanda kimoja na kulazimika kupanga foleni ili wapate nafasi pindi wanapopatwa na uchungu.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara wasota kortini kusubiri hukumu

SAKATA la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika Mahakama ya Kazi, kusota kwa siku nzima wakisubiri hukumu yao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachina kusubiri hadi Machi kupata watoto wawili

Serikali Uchina imeonya kuwa sharti raia waendelee kutii agizo la kuwa na mtoto mmoja kwenye familia hadi sheria ifanyiwe marekebisho mwezi Machi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani