Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina kusubiri hadi Machi kupata watoto wawili

Serikali Uchina imeonya kuwa sharti raia waendelee kutii agizo la kuwa na mtoto mmoja kwenye familia hadi sheria ifanyiwe marekebisho mwezi Machi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

#HAPA NI KAZI TU# WEWE ENDELEA KUSUBIRI MABADIRIKO WATOTO WASIENDE CHOONI



DR TEMBA WA TEMBA ENGINEERING SERVICE AKIWA KAZINI KUDUMISHA USEMI WA MGOMBEA URAISI KUPITIA CCM DR MAGUFULI #HAPA KAZI TU#
Dr Temba akitoa maelezo mbele ya wageni waliotembelea  kwenye viunga vya chuo cha UDC, Dr Temba amedesign machine ya kukaushia samaki na matunda kwa ajili ya chuo hicho na wageni hawa walitembelea ili kujionea jinsi machine hiyo inavyofanya kazi.Hii ni video ya machine hiyo ilivyowashwa kwa majaribio. Ukiwa na swali binafsi kwenda kwa Dr Temba unaweza kumwandikia email:...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger: Huenda tukamkosa Carzola hadi Machi

Arsenal huenda ikamkosa kiungo wake wa kati Santi Cazorla hadi Machi mwaka ujao, meneja wao Arsene Wenger amefichua.

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014

Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma kesho kwa ratiba ifuatayo:
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na  kiapo kwa Wajumbe wa Bunge Maalum ambao bado hawajaapishwa. Hivyo Wajumbe wote ambao hawajaapa  kiapo cha ujumbe wa Bunge Maalum wanatangaziwa kufika Idara ya Shughuli za Bunge Maalum kesho saa 2:00  asubuhi bila kukosa kwa ajili ya kutambuliwa.


Saa 11:00 jioni...

 

11 years ago

Michuzi

News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria

Mahakama ya Rufani imewaachia huru wafungwa wawili raia China (pichani)  waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la uvuvi haramu katika katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania (Exclusive Economic Zone- EEZ) Wafungwa hao , Hsu Chin Tai ambaye alikuwa nahodha wa meli ya Tawaliq 1 waliyokamatwa nayo wakifanya uvuvi huo haramu na aliyekuwa wakala wa meli hiyo, pamoja na baharia Zhao Hanquing.   Walitiwa hatiani na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Februari 23,...

 

11 years ago

Michuzi

TAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014


 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani