Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenger: Huenda tukamkosa Carzola hadi Machi

Arsenal huenda ikamkosa kiungo wake wa kati Santi Cazorla hadi Machi mwaka ujao, meneja wao Arsene Wenger amefichua.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema yumkini asilimia 60 hadi 70 ya jamii ya nchi hiyo ya Ulaya itaambukizwa virusi vya Corona.

Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.

Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachina kusubiri hadi Machi kupata watoto wawili

Serikali Uchina imeonya kuwa sharti raia waendelee kutii agizo la kuwa na mtoto mmoja kwenye familia hadi sheria ifanyiwe marekebisho mwezi Machi.

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014

Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma kesho kwa ratiba ifuatayo:
Tarehe 17/3/201 kuanzia saa 3:00 asubuhi kutakuwa na  kiapo kwa Wajumbe wa Bunge Maalum ambao bado hawajaapishwa. Hivyo Wajumbe wote ambao hawajaapa  kiapo cha ujumbe wa Bunge Maalum wanatangaziwa kufika Idara ya Shughuli za Bunge Maalum kesho saa 2:00  asubuhi bila kukosa kwa ajili ya kutambuliwa.


Saa 11:00 jioni...

 

11 years ago

Michuzi

TAKWIMU ZA MTANDAO WA UMEME NCHINI TOKA 2005 HADI MACHI 2014


 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa. Waziri wa Nishati na Madini  Sospeter Muhongo

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa.…

 

10 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani