Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema yumkini asilimia 60 hadi 70 ya jamii ya nchi hiyo ya Ulaya itaambukizwa virusi vya Corona.

Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.

Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Hadi 70% ya Wajerumani katika hatari ya kuambukizwa Coronavirus

Kansela wa Ujerumani ameonya kuwa karibu watu milioni 58 wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mnyama aliyesambaza corona huenda asijulikane

Mnyama aliyesambaza virusi vya corona kutoka kwa popo hadi kwa binadamu huenda asijulikane, kwa mujibu wa wanasayansi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je unajua ugonjwa wa corona huenda ulianza mapema mno?

Kuanza kufurika kwa watu hospitalini huenda kunaashiria kwamba corona ilianza mapema mno, utafiti unaonesha

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

Kumekuwa na takriban vifo 1,000 na zaidi ya maambukizi 18,000 barani Afrika kufikia sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Muuguzi wa wagonjwa wa corona ambaye huenda akarejeshwa kwao kwa lazima.

Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani inasikiliza kesi ambayo huenda ikaweka maelfu ya watu hasa watoto ambao waliingizwa nchini humo kinyume cha sheria na wazazi wao katika hatari ya kurejeshwa katika nchi zao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona

Hatua ya Afrika Kusini kupiga marufuku mikusanyiko mikubwa ya watu mazishini imesaidia kuvumbuliwa tenda kwa tamaduni za jadi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger: Huenda tukamkosa Carzola hadi Machi

Arsenal huenda ikamkosa kiungo wake wa kati Santi Cazorla hadi Machi mwaka ujao, meneja wao Arsene Wenger amefichua.

 

5 years ago

Michuzi

Merkel akataa kufunga mipaka ya Ujerumani kujikinga na corona


Huku mripuko wa kirusi cha corona ukizidi kuyakumba maeneo mbalimbali duniani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameweka bayana kwamba nchi yake haikusudii kufunga mipaka yake, akihoji kwamba ni jambo la maana zaidi kwa watu wanaowasili kutoka mataifa yaliyoathiriwa na kirusi hicho kujiwekea karantini wenyewe majumbani mwao. Akizungumza kwenye mkutano wa dharura na waandishi wa habari mchana wa leo mjini Berlin, Merkel amesema ni muhimu kwa viongozi wa Ulaya kujadiliana njia nzuri na zenye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yaongezeka hadi kufikia 2767

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 2,767 baada ya wagonjwa wengine 167 kupatikana na virusi hivyo kutoka sampuli 2,833 zilizofanyiwa vipimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani