Merkel akataa kufunga mipaka ya Ujerumani kujikinga na corona

Huku mripuko wa kirusi cha corona ukizidi kuyakumba maeneo mbalimbali duniani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameweka bayana kwamba nchi yake haikusudii kufunga mipaka yake, akihoji kwamba ni jambo la maana zaidi kwa watu wanaowasili kutoka mataifa yaliyoathiriwa na kirusi hicho kujiwekea karantini wenyewe majumbani mwao. Akizungumza kwenye mkutano wa dharura na waandishi wa habari mchana wa leo mjini Berlin, Merkel amesema ni muhimu kwa viongozi wa Ulaya kujadiliana njia nzuri na zenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
JK akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York


10 years ago
VijimamboRais Kikwete akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mataifa ‘maskini’ Ulaya yatishia kufunga mipaka
11 years ago
KwanzaJamii19 Aug
SERIKALI KUFUNGA MIPAKA ITAKAPOBIDI KUJIHAMI NA EBOLA
5 years ago
Michuzi
Merkel: 60% hadi 70% ya Wajerumani huenda wakakumbwa na Corona

Merkel alisema hayo jana Jumanne mbele ya Bunge la nchi hiyo ambalo lilipokea kwa mshtuko mkubwa takwimu hizo za kuogofya za Kansela wa nchi hiyo.
Amesema ikilazimu, vikao vya Bunge la nchi hiyo ya Ulaya vitasimamishwa, sambamba na kufutwa kwa mikutano na shughuli zenye mijumuiko ya watu wengi. Hata hivyo hajaeleza serikali yake imejiandaa vipi kukabiliana na...
11 years ago
GPL
KIOJA CHA KUFUNGA MWAKA: JAMAA APANDA JUU YA MNARA, AKATAA KUSHUKA MPAKA AONANE NA RAIS KIKWETE
5 years ago
MichuziSINGIDA KUFUNGA VILABU VYA POMBE ZA KIENYEJI KWA WASIOFUATA MASHARTI YA KUJIKINGA NA KORONA
Na Jumbe Ismailly SINGIDA
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dkt Rehema Nchimbi amesema serikali Mkoani hapa inatarajia kuwafungia watu wote wanaofanya biashara za kuuza pombe za asili (kienyeji) watakaoshindwa kutekeleza maagizo ya kujikinga na ugonjwa wa korona.
Dkt Nchimbi alitoa agizo hilo kwenye mkutano wa Baraza la Jumuiya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Singida waliokutana kujadiliana pamoja na mambo mengine tahadhari ya kujikinga na janga na kitaifa la ugonjwa hata korona....
5 years ago
Michuzi
Wanaonyonyesha wahimizwa kujikinga na Corona

Wanawake wanaonyonyesha wametakiwa kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya juu ya kujikinga na homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona ili wasiweze kuambukizwa wao pamoja na watoto.
Hayo yamesemwa na mganga mkuu wa halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe Dokta Alexander Mchome ambapo amesema endapo mama anaenyonyesha ataambukizwa virus hivyo atapaswa kuendelea kunyonyesha kwa uangalizi wa wataalam wa afya ili...
5 years ago
Michuzi