Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana  jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General AssemblyRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General Assembly.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL, JIJINI DAR


Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi  na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya jiji la Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya faragha ya saa moja katika kiota cha Break Point cha mjini.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Angela Merkel azungumzia mzozo wa Syria.

Ujerumani imesema Rais wa Syria Bashar al-Asad, anapaswa kushiriki katika mazungumzo yenye lengo la kumaliza mzozo wa nchi yake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Deni la Ugiriki,mwiba kwa Angela Merkel

Bunge la Ujerumani limeanza kujadili kuhusu maamuzi ya mwisho ya kulipwa kwa deni la Ugiriki .

 

5 years ago

Michuzi

Merkel akataa kufunga mipaka ya Ujerumani kujikinga na corona


Huku mripuko wa kirusi cha corona ukizidi kuyakumba maeneo mbalimbali duniani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameweka bayana kwamba nchi yake haikusudii kufunga mipaka yake, akihoji kwamba ni jambo la maana zaidi kwa watu wanaowasili kutoka mataifa yaliyoathiriwa na kirusi hicho kujiwekea karantini wenyewe majumbani mwao. Akizungumza kwenye mkutano wa dharura na waandishi wa habari mchana wa leo mjini Berlin, Merkel amesema ni muhimu kwa viongozi wa Ulaya kujadiliana njia nzuri na zenye...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA UHIFADHI WANYAMAPORI JIJINI NEW YORK

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani  Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akiagana na Bw....

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na nchi washirika wa maendeleo jijini Dar leo

se1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya  mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia  michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika  kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

se3

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA NCHI WASHIRIKA WA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika mazungumzo na mabalozi na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo katika mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KANSELA WA UJERUMANI NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Masuala ya Afrika wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mjumbe Maalumu wa Masuala ya Afrika wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani