Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General Assembly.(picha na Freddy Maro)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana  jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General AssemblyRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye...

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BENDI YA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI AKUTANA NA ANKAL, JIJINI DAR


Ankal akimkabidhi zawadi ya Krismasi  na kadi Kamanda wa FFU Ughaibuni The Ngoma Africa Band ya Ujeruman, Ras Ephraim Makunja, a.k.a Field Marshal wa jamii ya Annunaki walipokutana leo katikati ya jiji la Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya faragha ya saa moja katika kiota cha Break Point cha mjini.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Angela Merkel azungumzia mzozo wa Syria.

Ujerumani imesema Rais wa Syria Bashar al-Asad, anapaswa kushiriki katika mazungumzo yenye lengo la kumaliza mzozo wa nchi yake.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ,IKULU JIJINI DAR LEO

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt leo.Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo mawili.Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amkaribisha Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar Leo

1

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi Schadt leo.

2

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.

3

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Deni la Ugiriki,mwiba kwa Angela Merkel

Bunge la Ujerumani limeanza kujadili kuhusu maamuzi ya mwisho ya kulipwa kwa deni la Ugiriki .

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KANSELA WA UJERUMANI NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Masuala ya Afrika wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mjumbe Maalumu wa Masuala ya Afrika wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani