Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Deni la Ugiriki,mwiba kwa Angela Merkel

Bunge la Ujerumani limeanza kujadili kuhusu maamuzi ya mwisho ya kulipwa kwa deni la Ugiriki .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Angela Merkel azungumzia mzozo wa Syria.

Ujerumani imesema Rais wa Syria Bashar al-Asad, anapaswa kushiriki katika mazungumzo yenye lengo la kumaliza mzozo wa nchi yake.

 

9 years ago

Michuzi

JK akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana  jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General AssemblyRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General Assembly.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

BBCSwahili

Muda wayoyoma kwa Ugiriki kulipa deni

Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras ametaka wapiga kura kukataa masharti ya wakopeshaji wake. Siku ya kulipa madeni yakaribia

 

10 years ago

BBCSwahili

Deni la Ugiriki kujadiliwa tena Brussels

Mawaziri wa fedha kutoka nchi zinazotumia sarafu ya euro wanarejelea mkutano wao kuhusu mkopo kwa nchi ya Ugiriki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yashindwa kulipa deni la IMF

Ugiriki imeshindwa kulipa deni la IMF wakati muda uliokuwa umepangwa kulipa deni hilo ukimalizika

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki kuchelewa kulipa deni IMF

Ugiriki imetangaza kuchelewa kulipa deni la Euro milioni mia tatu ambalo walitakiwa kulilipa shirika la kimataifa la fedha la IMF siku ya Ijumaa.

 

10 years ago

Raia Mwema

Deni la Ugiriki si halali, linapaswa lifutwe

TAREHE tisa mwezi huu ilikuwa siku iliyojaa masikitiko kwa wananchi wengi wa Ugiriki.

Nizar Visram

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450

Ugiriki inatarajiwa leo Alhamisi kulipa nusu ya deni lake la dola milioni 450 inayodaiwa na shirika la fedha Duniani IMF.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani