Mataifa ‘maskini’ Ulaya yatishia kufunga mipaka
Mataifa ya eneo la Balkan ambayo yamekuwa yakitumiwa na wakimbizi kufikia nchi nyingine za Ulaya wametishia kufunga mipaka iwapo nchi hizo zitakataa kuwapokea wakimbizi zaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Feb
Al Shabaab yatishia kushambulia Ulaya
Marekani yasema yazingatia vitisho vya Al Shabaab kulenga maduka ya Ulaya
10 years ago
KwanzaJamii19 Aug
SERIKALI KUFUNGA MIPAKA ITAKAPOBIDI KUJIHAMI NA EBOLA
Serikali imesema haipo tayari kufunga mipaka yake kwa sasa kuzuia wananchi wa nchi zinazo kabiliwa na ugonjwa wa ebola kuingia nchini kama Kenya ilivyo fanya mpaka itakapopata ushauri wa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashidi, alipozungumza na NIPASHE.Kwa sasa ugonjwa wa ebola umezitikisa nchi kadhaa za Afrika Magharibi huku ikiripotiwa kuwa takribani watu zaidi ya 400 nchini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eH8Bxf01cew/XmnAXrbW9hI/AAAAAAALitY/JRdBeYWZm_w8TDbjGbHSgQytuttZJZT-ACLcBGAsYHQ/s72-c/52722240_354.jpg)
Merkel akataa kufunga mipaka ya Ujerumani kujikinga na corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-eH8Bxf01cew/XmnAXrbW9hI/AAAAAAALitY/JRdBeYWZm_w8TDbjGbHSgQytuttZJZT-ACLcBGAsYHQ/s640/52722240_354.jpg)
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Uhaba wa walimu katika mataifa maskini
Ripoti ya UN imeonya kwamba uhaba wa walimu katika nchi zinazostawi utakithiri kutokana na ongezeko la watoto wa kwenda shule.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yHGnSvX1lAI/XpDEM_xcqyI/AAAAAAALmwQ/qxXVbAB7ApQilirfWzn5WYzwhy-Z1nBMQCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
SERIKALI YASEMA LICHA YA MIPAKA YA NCHI KUJIFUNGA WAGENI WACHACHE WANAOINGIA NCHINI WANAHUDUMIWA KWA HADHI SAWA NA MATAIFA MENGINE DUNIANI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-yHGnSvX1lAI/XpDEM_xcqyI/AAAAAAALmwQ/qxXVbAB7ApQilirfWzn5WYzwhy-Z1nBMQCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge ameyasema hayo alipofanya ziara...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Wahamiaji:Mataifa ya Ulaya yatofautiana
Naibu Chansela wa Ujerumani ameelezea ghadhabu zake kutokana na hatua ya mawaziri wa muungano wa Ulaya kushindwa kukubaliana kuhusu mpango wa kugawana wahamiaji.
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Mataifa ya Ulaya sharti yawapokee wahamiaji
Rais wa tume ya Ulaya Jean Claude Juncker, alizitaka nchi za muungano wa ulaya kuwapa makao wakimbizi 160,000
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Vijembe vya Putin kwa mataifa ya Ulaya
Ametumia hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa kushambulia mataifa ya Magharibi ambayo amesema yamekuwa na unafiki mkubwa juu ya hali ilivyo nchini Ukraine.
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA ULAYA (EU) YATOA EURO 200,000 KWA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI TANZANIA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania