Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUFUNGA MIPAKA ITAKAPOBIDI KUJIHAMI NA EBOLA

Serikali imesema haipo tayari kufunga mipaka yake kwa sasa kuzuia wananchi wa nchi zinazo kabiliwa na ugonjwa wa ebola kuingia nchini kama Kenya ilivyo fanya mpaka itakapopata ushauri wa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO). Kauli hiyo ilitolewa  jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashidi, alipozungumza na   NIPASHE.Kwa sasa ugonjwa wa ebola umezitikisa nchi kadhaa za Afrika Magharibi huku ikiripotiwa kuwa takribani watu zaidi ya 400 nchini...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola

1

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana,  kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mataifa ‘maskini’ Ulaya yatishia kufunga mipaka

Mataifa ya eneo la Balkan ambayo yamekuwa yakitumiwa na wakimbizi kufikia nchi nyingine za Ulaya wametishia kufunga mipaka iwapo nchi hizo zitakataa kuwapokea wakimbizi zaidi.

 

5 years ago

Michuzi

Merkel akataa kufunga mipaka ya Ujerumani kujikinga na corona


Huku mripuko wa kirusi cha corona ukizidi kuyakumba maeneo mbalimbali duniani, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameweka bayana kwamba nchi yake haikusudii kufunga mipaka yake, akihoji kwamba ni jambo la maana zaidi kwa watu wanaowasili kutoka mataifa yaliyoathiriwa na kirusi hicho kujiwekea karantini wenyewe majumbani mwao. Akizungumza kwenye mkutano wa dharura na waandishi wa habari mchana wa leo mjini Berlin, Merkel amesema ni muhimu kwa viongozi wa Ulaya kujadiliana njia nzuri na zenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Liberia sasa yafungua mipaka yake

Mipaka ya Liberia imefunguliwa rasmi, miezi 7 baada ya kufungwa kwa sababu ya janga la ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Liberia sasa kufungua mipaka yake

Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf anasema kuwa mipaka ya nchi yake itafunguliwa kesho Jumapili baada ya kufungwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yafanya Senegal kufunga mpaka

Senegal yafunga mpaka wake na Guinea ambako Ebola imeuwa watu kadha

 

5 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti mipaka 53 isiyo rasmi Kanda ya Magharibi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya Shirika la Viwango (TBS) Kanda ya Magharibi itakayohudumia mikoa ya Kigoma,Katavi na Rukwa.Hafla hiyo imefanyika Mjini Kigoma.

***********************************

Na Mwandishi Wetu- TBS

Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Wizara nyingine zitadhibiti mipaka isiyo rasmi 53 katika mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa ili kukabiliana na changamoto ya uingizaji...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATOA TAARIFA YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA NCHINI

Mkurugenzi Msaidizi Topografia na Jiodesia (katikati)Dk. James Mtamakaya akitoa taarifa mbele ya wanahabari (hawapo pichani), Mkurugenzi Msaidizi Upimaji Vijijini, Huruma Lugala (kulia) pamoja na Mpima Ardhi wa Wizara, Geofrey Kameta. …Mkurugenzi Msaidizi wa Upimaiji Mipaka, Huruma Lugala akionesha mchoro wa ramani ya Tanzania na mipaka ya nchi kwa wanahabari (hawapo… ...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapiga marufuku  matumizi mabaya ya mipaka kwa vyombo vya habari

Serikali imepiga marufuku matumizi mabaya ya ramani ya Tanzania kwa vyombo vya habari nchini ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa Ramani hizo mitaani.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene amesema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitumia ramani ya Tanzania isivyo sahihi ambayo inaonyesha ziwa nyasa kuwa upande wa nchi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani